The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancity-20231125-0003.jpg
 
Hawa Liverpool walikuwa wanapigika kabisa ..
Mmepoteza nafasi nyingi kizembe sana, hii game mlikua mnawakanda livakuku goli zisizopungua 3.
Doku ni bonge la mchezaji ila anapaka sana rangi kwenye nafasi muhimu za kutoa pasi.
 
Doku anacheza vzuri tatizo kufanya maamuzi sehemu sahihi ndio tatizo ....hope atajirekebisha ...
 
Leo Jeremy Doku alikuwa akikutana na Matip anadunda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom