The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sijui kwann kipara alimuuza Cole Palmer, pale Chelsea anakichafua tu.
Mahrez aliuzwa ili Palmer apate nafasi ya kucheza ,lakin kama unavojua pep Mzee WA rotation....Palmer akawa bado anasugua bench na kuanza baadhi ya game ...


Palmer akawa ameomba kuondoka Kwa mkopo Lakin pep akasema Ni either ubaki au kuuzwa kabisa ....basi akaamua kuuzwa ili apate muda WA kucheza .....mpaka sasa Ni regula starter pale Chelsea ....
 
Our boys...
IMG-20240113-WA0161.jpg
 
Back
Top Bottom