The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Dominant perfomance.

Shida ni kwamba the more tulivyowachelewesha kuwaongeza la pili ndivyo confidence yao na composure vikazidi kuongezeka.

Ukizingatia fact kwamba city msimu huu defensively hatupo vizuri inanitia wasiwasi luton wakianza kututia presha kama wakiweza ku survive mpaka dakika ya 70+
 
I'll be so grateful kama hatuta concede goal leo.

Siku izi cleansheet tunatafuta kwa tochi.
 
Ningeshangaa halaand asingefunga leo, hata kama ni kwa tuta.
 
Msimu huu nyuma tupo hovyo sana, no matter tunashinda ngapi lazima tutoboke tu.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana ndoo msimu huu kuamuliwa na GD, kwa mwendo huu wa kuvujavuja hovyo hatutaweza battle na arsenal & liverpool.
 
Back
Top Bottom