Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Domination hiyo ni uhakika lazima watuachie mpira then wao wacheze mipira mirefu na counter.Leo Carlo Hana mbinu nyingine Zaidi ya kupaki bus na kusubili Mikimbio ya vin na Rodrigo mbele ...
Madrid wakisema tupishane basi anaenda Kula kichapo kingine zile NNE zilikuwa ndogo ..
Wahispaniola wote wanatupisha kwenye haya mashindano.View attachment 2966503
Mashabiki wa Barcelona Leo tupo Man City
Arsenal kafikaje humuKila la heri Arsenal
Gvardiol kwa kiwango alichoonyesha sidhani kama ataanzia benchi.Hellow the Cityzens.
Leo tunaonyeshana umwamba kwa mara nyingine tena na jeshi la Ancelotti. Vitabuni mechi ya leo ipo mikononi mwetu sababu ya factors mbalimbali.
1. Uwanja wa nyumbani
Mara ya mwisho kufungwa pale Etihadi stadium kwenye UEFA ilikua miaka 6 iliyopita, form yetu kwenye uwanja wa nyumbani lazima imtie hofu mpinzani yeyote anayekuja pale.
2. Kurejeakwa Kevin De Bruyne.
Game ya kwanza mwamba aliikosa sababu ya ugonjwa ila sasa yuko tayari kuwavaa madrid. Kurejea kwa de bruyne kutaleta uhai kwa Haaland kwa sababu duo yao iko productive kitakwimu.
3. General form ya City
Kiujumla form ya city ipo vizuri kwenye michuano hii msimu huu ukizingatia na sare ya 3-3 ugenini hivyo mchezo uko upande wetu.
KItu kinachonitia hofu ni defence yetu ya msimu huu inafanya makosa mengi sana. Kurejea kwa walker ni jambo jema.
Defence leo kulia aanze walker, katikati dias na stones kama kawaida kushoto Ake ama Akanji.
Gvardiol ameonyesha game nzuri kwenye mechi kadhaa zilizopita lakini sio mzuri sana kwenye 1v1 na kwa aina ya uchezaji wetu wa highline na stones kusogea katikati, tutakua tunabaki na mabeki 3 hivyo tunahitaji mabeki walio tough na wazuri kwnye 1v1 ambapo ake au akanjj wote ni tough na waxuri zaidi kwenye 1v1 kuliko Gvardiol.
Pia kuchezesha kdb na foden kwa pamoja kama double no 10 naona ni risky mno kwa timu kama madrid sababu tutakua open sana na itakua hatari zaidi kama madrid wakija na mentality ya kukaa nyuma.
All in all nategemea game ya kusisimua usiku wa leo.
The cityzens 💪💪
Arsenal Leo kayakanyaga ,uwanja mgumu sana ule [emoji1787]Kila la heri Arsenal
Mim mwenyewe ninawasiwasi ya kdb n Foden Kwa pamoja ,Hawa wote sio wakabaji Sana pale Katikati, rodri watampa Kazi kubwa mno off ball ....Hellow the Cityzens.
Leo tunaonyeshana umwamba kwa mara nyingine tena na jeshi la Ancelotti. Vitabuni mechi ya leo ipo mikononi mwetu sababu ya factors mbalimbali.
1. Uwanja wa nyumbani
Mara ya mwisho kufungwa pale Etihadi stadium kwenye UEFA ilikua miaka 6 iliyopita, form yetu kwenye uwanja wa nyumbani lazima imtie hofu mpinzani yeyote anayekuja pale.
2. Kurejeakwa Kevin De Bruyne.
Game ya kwanza mwamba aliikosa sababu ya ugonjwa ila sasa yuko tayari kuwavaa madrid. Kurejea kwa de bruyne kutaleta uhai kwa Haaland kwa sababu duo yao iko productive kitakwimu.
3. General form ya City
Kiujumla form ya city ipo vizuri kwenye michuano hii msimu huu ukizingatia na sare ya 3-3 ugenini hivyo mchezo uko upande wetu.
KItu kinachonitia hofu ni defence yetu ya msimu huu inafanya makosa mengi sana. Kurejea kwa walker ni jambo jema.
Defence leo kulia aanze walker, katikati dias na stones kama kawaida kushoto Ake ama Akanji.
Gvardiol ameonyesha game nzuri kwenye mechi kadhaa zilizopita lakini sio mzuri sana kwenye 1v1 na kwa aina ya uchezaji wetu wa highline na stones kusogea katikati, tutakua tunabaki na mabeki 3 hivyo tunahitaji mabeki walio tough na wazuri kwnye 1v1 ambapo ake au akanjj wote ni tough na waxuri zaidi kwenye 1v1 kuliko Gvardiol.
Pia kuchezesha kdb na foden kwa pamoja kama double no 10 naona ni risky mno kwa timu kama madrid sababu tutakua open sana na itakua hatari zaidi kama madrid wakija na mentality ya kukaa nyuma.
All in all nategemea game ya kusisimua usiku wa leo.
The cityzens [emoji123][emoji123]
Yeah maybe foden acheze winga then bernado arudi kati.Mim mwenyewe ninawasiwasi ya kdb n Foden Kwa pamoja ,Hawa wote sio wakabaji Sana pale Katikati, rodri watampa Kazi kubwa mno off ball ....
Kuhusu Madrid sioni mbinu nyingine Zaidi ya counter attack ,Walker Yupo uwanjani Leo ,watakula sahani moja na Vin mpaka kieleweke ..
Download app ya score808 utaweza kuiona game Kwa urahisi mno live ....haipo play store lakin ,google store ....Wakuu ni site gan naweza ku stream hii game online