The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jamaa wamejiandaa kuja ku absorb presha tunayowapa, naona kama tuko kwenye plan ya ancelotti hivi.
 
A lot of threatening moments but no goal.
Wacha tuone second half.
 
Tunapoteza nafasi Sana ..

Grealish..

Kipindi cha pili pep anatakiwa kufanya kitu ,
 
Back
Top Bottom