Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Aingie Doku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee hapa Tanzania Hakuna anayeshabikia la liga ,zunguka weekend nzima uone kama Kuna MTU mwenye muda WA kuonesha Mallorca vs real Madrid game kwenye kibanda umiza .......au anayezungumzia Madrid tofauti na kipindi cha UEFA tu ...
Mim nakushangaa tuwe jamaa sijui WA wapi ,baada ya game Leo UEFA sijui kama tutakuona Tena jukwaani maana huna utakalokuwa unazungumzia .![]()
City ni kakikundi kawahuni tu uyo Jack anadeka uwanjani kama Refa ni Baba akeHuu ukuta wetu Ni ujinga mtupu ...
Hili nililiona mapema, upande wa kushoto kuna njia nyeupe, hao vijana wenu mliopigwa mamilioni zaidi ya 200 ya dollar hawana msaada, yaani Jack na mwenzie Gvardiol.Hiki kikosi akina nani watakaba ipasavyo hapo kati?, upande wa Jack utakuwa uchochoro Gvardiol hatakuwa na msaada toshelevu wa kusaidia kukaba.
Wala hatujariiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiandae na madrid kesho biashara sebuleni kwenu.
Gvardiol nlisema toka mwanzo sio mzuri kwenye ukabaji, ule upande angecheza ake at least.Hili nililiona mapema, upande wa kushoto kuna njia nyeupe, hao vijana wenu mliopigwa mamilioni zaidi ya 200 ya dollar hawana msaada, yaani Jack na mwenzie Gvardiol.
Bora kipindi cha pili ili kupunguza aibu aingie Doku na Ake upande huo.
Goli la kijinga kabisa tumefungwa ,mpaka nikajiuliza Hawa beki zetu Leo wamekula sijui Nin....Hili nililiona mapema, upande wa kushoto kuna njia nyeupe, hao vijana wenu mliopigwa mamilioni zaidi ya 200 ya dollar hawana msaada, yaani Jack na mwenzie Gvardiol.
Bora kipindi cha pili ili kupunguza aibu aingie Doku na Ake upande huo.
Super sport football plus, super sport maximoGame inaonyesshwa dstv? Channel gani maana nashindwa kuipata
Nielekeze jinsi ya kuongeza kwenye hiyo website wakati na streamWabeja
Kazi mnayo, ikipigwa counter attack kule mbele njia nyeupe, Jack badala atanue uwanja, muda mwingi anacheza kama namba 9, leo mmeyatimba, mtapigwa kama Mandonga.Goli la kijinga kabisa tumefungwa ,mpaka nikajiuliza Hawa beki zetu Leo wamekula sijui Nin....
Sijawahi ona Goli la kijinga kama hili [emoji848]
Grealish ana offer vitu vingi kuliko doku, kwa game tight kama hii grealish ndo mtu sahihi, doku hawezi kufungua hii defence ya hawa jamaa labda kama wangekua wamefunguka.Aingie Doku
ThanksSuper sport football plus, super sport maximo