The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mwasity bye bye, utoto mwingi.
Mnapoteza sana muda kwa kukaa na mpira sekunde nyingi bila sababu ya msingi, pia pasi zenu fupi fupi hazina msaada.

Naona timu za Epl zote zikiondoka kwenye michuano ya Uefa Cl na Europa.

Matumaini yamebaki kwa Aston Villa pekee.
 
Back
Top Bottom