The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii imejirudia km majuzi liver alivyonyooshwa halafu baadae naye Arsenal akachezea vitasa 🤣🤣🤣🤣🤣

Sema nini city mmekufa kiume wanetu 🤣🤣🤣🤣
Yeah tumepambana sema daah 😥😥😥
Hakuna shinda ngoja turudi EPL tukahakikishe klopp anavungasha virago vyake na carabao halafu na ile misukule ya arteta inaondoka trophyless kama ilivyo ada.
 
Nyie mavi city mlikua mnaisumbua sana mahakama dadeki zenu😂
 

Attachments

  • IMG_20240410_145755.jpg
    IMG_20240410_145755.jpg
    72.2 KB · Views: 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaaa!!!!
🤣🤣🤣🤣 Mngepenya mngetusumbua sana humu, mmerudisha goli ghafla mkahamia uzi wa Arsenal na kejeli kibao!!!! Haya kiko wapi?? 😂😂😂😂

Baba Jane bye bye 👋
 
Pole Sana coca😊
Mazoea gani? Kwa mpira upi? Hizo penalties za ndondokelaa,? Huko kupaki bus muda mwingi ndo hamtaki mazoea woiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mngepenya mngetusumbua sana humu, mmerudisha goli ghafla mkahamia uzi wa Arsenal na kejeli kibao!!!! Haya kiko wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Baba Jane bye bye [emoji112]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu ntakubondaaa.
 
Guuuuuys.
Sherehe letu la treble la pili mfululizo limetiwa doa, mwali mmoja katuponyoka.

Tunaenda kubeba Epl &FA, kwa timu kama arsenal yangekua mafanikio makubwa sana ila kwetu hii ni failure.

By the way, we press foward

Next: FA cup semi final
Chelsea
Let's go the cityzeens 💪💪💪💪💪
 
Bye bye mafala nyie mlitusumbua Sana humu😂
 

Attachments

  • IMG_20240418_011202.jpg
    IMG_20240418_011202.jpg
    32.6 KB · Views: 3
kitu msokifshamu kuhusu madrid ni mentality yao ndio maana pep anawaheshimu mno

unaweza mpiga mpira wa possession ya 90% kwa 10% lakini akakufunga na kombe akabeba
 
Back
Top Bottom