The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Arsenal wanatamani kulia lakin ndio hivo hawawezi ....

Kiufupi saizi Ni Kila MTU kushinda game zake harafu tukutane may ..
 
Header
906755698.jpg
 
[emoji146] Kevin De Bruyne on [emoji93] Phil Foden: "He'll end up central. I saw him from the start, it takes a while to get used to a Pep team. Now he's trusted central and Phil does what he does already for seven years . He's been doing this for years and helped us win all these titles..."

[emoji3578] Sky Sport
 
Game ile ka vile tulikua tunacheza na lipuli.
Jana nimependa upambanaji WA Kila mchezaji ...

Kovacic Yupo moto Sana ,pale Kati anapatawala ...

Foden huyu Ni next city legend no doubt ,tumepata bonge la midifilder..

Jana Ake na akanji kucheza CB nilikuwa napata wasiwasi mkubwa Sana ,lakin build up ya Brighton kuanzia nyuma iliwaponza ,hawakuweza kabisa kuwapa kashikashi beki zetu ...

Tatizo la Brighton Ni moja walitaka kupishana ,hawakujua kuwa Sisi tunaviungo ambao Ni world class ....
Ile pressing ya bernado ,kdb na foden kwenye build up ya Brighton ilikuwa sio ya kitoto ...

Wale watoto wanaanzia nyuma wanapasiana wanafikili wanacheza Ni united [emoji23],Sisi tuna high pressing machine player ,kuanzia build up nyuma hakikisha uko na sweeper goalkeeper kama ederson , vinginevyo Ni mauaji ...
 
Goli la tatu la Foden Ni funzo Kwa team zote zinazoanza mashambulizi nyuma Bila kuwa ...

-Sweeper goalkeeper

-stong midifilder

-strong footwork CB ...

Jana Brighton. Kila wakianzia nyuma Foden ,kdb na bernado wako pale miguuni mwao ,pressing moja hatari ,kdb bado Yupo energetic nashangaaa wanafikili kazeeka ,ukibutuaa mbele Kovacic ,rodri mpira wanao ....
 
Kwa sasa Naona Hawa ndio accurate freekick taker ..

1.FODEN
2.KDB
3.ALVAREZ

Freekick za Foden Ni either apige ukuta uliowekwa iwe Kona ,au mpira uingie nyavuni ,Hana muda WA kutafuta angle ngumu pembeni kama Alvarez na kdb ...
 
Goli la tatu la Foden Ni funzo Kwa team zote zinazoanza mashambulizi nyuma Bila kuwa ...

-Sweeper goalkeeper

-stong midifilder

-strong footwork CB ...

Jana Brighton. Kila wakianzia nyuma Foden ,kdb na bernado wako pale miguuni mwao ,pressing moja hatari ,kdb bado Yupo energetic nashangaaa wanafikili kazeeka ,ukibutuaa mbele Kovacic ,rodri mpira wanao ....
Ederson alikua anasambaza upendo tu.
 
Na nyie mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H

Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49

japo mna advantage ga easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs

kule tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more mature kisha wapepo na points nyingi za kupambana na nyie

its not over you 115 ffp farmers
Hii run ni nyinyi v/s arsenal watalaam tulishalisema hilo muda mrefu hapo tatizo litatokea mtakapo draw au kupoteza ni itakuwa vita ya GD

kila mtu ashinde mechi zake na mwenye point Gd kubwa apewe kombe lake
 
GD gani unasemea Sisi hatupotezi game hata moja ...

Saizi mnaanza kuja na news za 115charge na takataka nyingine kututoa mchezoni ....

Lakin Kila tutakayekutana nae kudadeki Ni kipigo cha mbwa Koko ....

Kama PL wanaweza waunganishe timu zote 19 waje kucheza na Sisi maana uwanjan wameshindwa kutuzuia wapo kwenye 115charges saizii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Typical farmer fan yani bado mechi kibao na mna spurs ila mnajipa uwakika mpaka mwisho

Arsenal yupo na nyie mpaka mwisho na hivi sasa anagawa dozi za 5+ goals kupambana nae kwa GD it's almost impossible... yani labda iwe ivo mshinde zenu zote in which i highly doubt kwenye hii ligi la EPL anything can happen

what's happening to Liverpool can happen to any of you
Refer maneno pep hapo majuzi
 
Pep Yale maneno Ni mind game ...

Yale maneno anayaongea kwenye media tu ,lakin huku dressing room Ni kuandaaa Siraha za kuua Kila MTU anayekatiza mbele yetu ....

Kiufupi timu itakayoweza kupata hata draw Kwa hizi game zilizobaki dhidi yetu wachezaji wao watatoka uwanjani wanapelekwa hospital moja Kwa moja ,Kwa sababu moto tutakao wawashia hawataweza kuamin ,watajuta kuingia uwanjani.......muulize kocha WA Luton

Kwanza timu gani itaweza kuchukua hata point 1 kudadekii sioni kabisa [emoji23]....

Hii man city kilichobaki Ni kuunganisha timu zote 19 za EPL zije pale Etihad kupambana na city , vinginevyo Hakuna Namna ya kuweza kutufunga ...

Kesho forest atajuta .....
 
Back
Top Bottom