Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Nani anakudanya?Hii klabu basi tu ila haina mashabiki kabsa, humu wamejazana mashabiki wa chelsea,man utd, barcelona, ndo wanajivika koti la Man city kwakuwa vilabu vyao vipo hoi taabani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anakudanya?Hii klabu basi tu ila haina mashabiki kabsa, humu wamejazana mashabiki wa chelsea,man utd, barcelona, ndo wanajivika koti la Man city kwakuwa vilabu vyao vipo hoi taabani.
Kombe mmeshinda nyie ila cha ajabu Nyuzi zenu hata hazitembei kama za walioshindwa kombe wakina ArsenalNani anakudanya?
Pep kasema utakuwepo msimu ujao ..lakin anakaribia kuondoka ....japo baada ya mkataba wake kuisha atakuwa na mazungumzooHivi pep anasepa nayeye
Acha tuone kama kutamfaa. Nimefurahi alivyoshuka daraja ili alipiziwe mambo aliyofanya akiwa mchezaji, ila zaidi ni impe nafasi aonyeshe ulimwengu kama hii kazi anaiweza. Ni rahisi kuonekana mzuri wakati unafanikiwa na timu yako iko top 10. Ila acha tuone ataibukaje ikiwa ameshashuka daraja.Buyern Munich wanamtaka Vincent Kompany....
Kompany pamoja na kushusha daraja burnely am sure Ni manager mzuri..
One day atakuja man city as manager ....
Kompany akipata team yenye board nzuri , management nzuri ,Ni bonge moja la kocha ....Acha tuone kama kutamfaa. Nimefurahi alivyoshuka daraja ili alipiziwe mambo aliyofanya akiwa mchezaji, ila zaidi ni impe nafasi aonyeshe ulimwengu kama hii kazi anaiweza. Ni rahisi kuonekana mzuri wakati unafanikiwa na timu yako iko top 10. Ila acha tuone ataibukaje ikiwa ameshashuka daraja.
Acha Kompany aende Bayern.🚨🔴 More on Vincent Kompany and FC Bayern story revealed earlier today.
Understand Kompany has already received direct call from Bayern board to be informed on his situation.
Kompany was open to discuss, still early stages but interest is confirmed — he’s in the list.
Tayari buyern Munich washampigia simu Kompany ...
Imagine Sana ,harry Kane na kimmich wanaelekezwa na Kompany.
Msimu ujao nitajitahido kuwasoma lau kidogo makocha zaidi.Kompany akipata team yenye board nzuri , management nzuri ,Ni bonge moja la kocha ....
Hata Carlo alikuwa Everton nadhani Kila MTU alimkataa,ona alivoenda real Madrid penye Kila kitu anaonekana bonge la kocha ...