Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrudi mlipokuwepo miaka Ile kudadadeki 😃😃😃😃Bado tumebaki nafasi ya 4.
Brighton akishinda anatushusha tena.
Hii ni wishful thinking.Mrudi mlipokuwepo miaka Ile kudadadeki 😃😃😃😃
😃😃Hii ni wishful thinking.
Brighton, Nottingham, Tottenham, villa unafkir zinaweza kushindana na city hii mbovu in a long run?
Lolote baya liwakuteHuu msimu naona for the first time since 2017 tunaenda kumaliza nje ya top 2.
Japo ndio tunaelekea katikati ya msimu.
Huu msimu naona for the first time since 2017 tunaenda kumaliza nje ya top 2.
Japo ndio tunaelekea katikati ya msimu.
Kuanzia namba 5 mpaka mwisho hakuna mwenye pumzi ya kufukuzana na city hii na ubovu wake.
Punguza preshaJanuary tunahitaji si chini ya sajili 3, kwenye midfield na defence.
Tumekubali mwanetuMan city sasa gari limewaka kama ulipitwa na ofa ya November sasa baasi gari limewaka
Huo ni ukweli, pale nyuma dias anahitaji kuletewa CB mwingine, Stones na Ake washakua wa mechi moja wanarudi kitandani sio wa kutegemea.Punguza presha
CB which maana Akanji,Guardioval wote c center back,Labdah mabeki asilia wa pembeniHuo ni ukweli, pale nyuma dias anahitaji kuletewa CB mwingine, Stones na Ake washakua wa mechi moja wanarudi kitandani sio wa kutegemea.
Tunahitaji DM, hii haipingiki.
Tunahitaji na full back mmoja.
Gvardiol ana excel zaidi kama fullback, mechi anazoanza kama CB huwa hana maajabu kabisa, Akanji nae majeruhi.CB which maana Akanji,Guardioval wote c center back,Labdah mabeki asilia wa pembeni