The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bado tumebaki nafasi ya 4.
Brighton akishinda anatushusha tena.
 
Huu msimu naona for the first time since 2017 tunaenda kumaliza nje ya top 2.

Japo ndio tunaelekea katikati ya msimu.
 
Huu msimu naona for the first time since 2017 tunaenda kumaliza nje ya top 2.

Japo ndio tunaelekea katikati ya msimu.
Lolote baya liwakute
Huu msimu naona for the first time since 2017 tunaenda kumaliza nje ya top 2.

Japo ndio tunaelekea katikati ya msimu.
Screenshot_20241207_200949_FotMob.jpg
 
January tunahitaji si chini ya sajili 3, kwenye midfield na defence.
 
Huo ni ukweli, pale nyuma dias anahitaji kuletewa CB mwingine, Stones na Ake washakua wa mechi moja wanarudi kitandani sio wa kutegemea.

Tunahitaji DM, hii haipingiki.

Tunahitaji na full back mmoja.
CB which maana Akanji,Guardioval wote c center back,Labdah mabeki asilia wa pembeni
 
Back
Top Bottom