The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo defence za timu zote mbili ndio zitaamua game.

City tunavuja sana kuliko Juve na hapa ndipo hofu yangu ilipo.
 
juvmci-1.jpg
 
Naona kova na Foden wamerudi kikosini.

Magari bovu Stones na Ake bado hawapo.
 
Nadhani na leo Grealish atatokea katikati kama siku ya Nottingham.
 
Kwenye mechi 6 za mwisho za nyumbani za CL, juve kashinda 2 tu.
 
Wachezaji waliopita timu zote mbili.

Anelka
Vieira
Danilo
Tevez
Cancelo
 
Grealish na KDB leo wakiwa kwenye viwango vizuri tunabeba pointi 3.
 
Back
Top Bottom