The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

KDB kwa kweli muda wake umekwisha, game ya leo mpaka unajiuliza huyu anafanya nini humu.
 
😂😂😂Mpe heshima mzee wa watu, kamfukuza pep mara 2 kwa point 1 mpaka ligi inaisha.

Usimlaumu mkimbizaji, angalia na aliyekuwa anakimbizwa ni nani.
Hiki kitu ndicho kilichomzeesha kloop 🤣🤣🤣 ebu fikiria point mojatu
 
Ni muda sasa mashabiki wa man shitty kurudi kwenye timu zenu za awali ( wengi wenu mkitokea arsenal na united)
 
John stones
Kdb
Bernado
Gundogan
Walker
Kovacic

Hawa wanaweza kuondoka mwsho wa msimu.

Ziletwe damu changa sasa.
 
Since 2022/23 tumekuwa na uhaba wa fullbacks.

Ifike muda sasa hii tabia ya kutumia ma center backs kama fullbacks ikome.

Ona ujinga anaocheza Gvardiol.
Msimu ujao inabidi tupate natural fullbacks aisee.
 
Ila trent 😂😂
Kuna muda huwa namuhurumia sana.

Leo kawa dribbled past mara 11
 
Ulishawahi kucheza mpira?
Mpunguze lawama.
Mimi nimeandika hali halisi ilivyokua kwamba kdb jana hakuwa na presence yeyote kitu ambacho mtu yeyote aliyeangalia mpira amekiona.

Wewe unakuja kuandika nikacheze mimi, mara niache lawama.

Sasa mchezaji asipocheza vizuri tukasema fulani leo hakucheza vizuri ni tatizo?
 
Huyu ni KDB
Screenshot_20250224-103604_1.jpg
 
Khusanov

6 clearances
1 block
1 tackle
102 touches (most touches of any city player)
99% pass accuracy
 
Back
Top Bottom