Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokucheza vizuri maana yake moyoni mwenu mmeweka lawama tiari, kwakuwa mlitaka awe bora mda wote.Mimi nimeandika hali halisi ilivyokua kwamba kdb jana hakuwa na presence yeyote kitu ambacho mtu yeyote aliyeangalia mpira amekiona.
Wewe unakuja kuandika nikacheze mimi, mara niache lawama.
Sasa mchezaji asipocheza vizuri tukasema fulani leo hakucheza vizuri ni tatizo?
Unashindwa kutofautisha ku state fact na ku judge.Kutokucheza vizuri maana yake moyoni mwenu mmeweka lawama tiari, kwakuwa mlitaka awe bora mda wote.
Hii inaongelewa kiutani ila ni ukweli ...jambo limemvuruga sana anaitaji counseling ya Hali ya juu sana ..mtu mwanaume mwenye mapumbu unatoka mahakamani baada ya kutoa talaka unalia kama mtoto unafikir mchezo, Sasa kazi zitafanyika kwa ubora ule ule...?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii timu kumbe misimu yote ilikua inaongoza kutokana na nguvu ya papuchi ya Cristina Serra(mke wa Pep)
Bibie baada ya kudai talaka kila kitu kinaenda kuvurugika.
Kumbe Cristina ndie controller wa Mainswitch halafu kina Herzogg walikua hata hawajui. View attachment 3247772
Any clip mkuu ikimuonyesha analia akitoka mahakamanHii inaongelewa kiutani ila ni ukweli ...jambo limemvuruga sana anaitaji counseling ya Hali ya juu sana ..mtu mwanaume mwenye mapumbu unatoka mahakamani baada ya kutoa talaka unalia kama mtoto unafikir mchezo, Sasa kazi zitafanyika kwa ubora ule ule...?
Injuries za wachezaji zimesababishwa na talaka?Hii inaongelewa kiutani ila ni ukweli ...jambo limemvuruga sana anaitaji counseling ya Hali ya juu sana ..mtu mwanaume mwenye mapumbu unatoka mahakamani baada ya kutoa talaka unalia kama mtoto unafikir mchezo, Sasa kazi zitafanyika kwa ubora ule ule...?
Heheh kwaio mmefufua mbio za ubingwa ? [emoji3][emoji3][emoji3]
Unaongea pumba sanaHawa liverpool wangekua wanafukuzana na opponent anaejielewa kombe wangelisikia kwenye bomba.
Ni wachovu mbele kati na nyuma.
Kitu pekee kitakachowatoa na point 3 ni kutumia nafasi zao vizuri.