The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Dias______Khusanov

Hii ndio patnership tunayotakiwa kwenda nayo kuanzia sasa.
 
Mimi nimeandika hali halisi ilivyokua kwamba kdb jana hakuwa na presence yeyote kitu ambacho mtu yeyote aliyeangalia mpira amekiona.

Wewe unakuja kuandika nikacheze mimi, mara niache lawama.

Sasa mchezaji asipocheza vizuri tukasema fulani leo hakucheza vizuri ni tatizo?
Kutokucheza vizuri maana yake moyoni mwenu mmeweka lawama tiari, kwakuwa mlitaka awe bora mda wote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii timu kumbe misimu yote ilikua inaongoza kutokana na nguvu ya papuchi ya Cristina Serra(mke wa Pep)
Bibie baada ya kudai talaka kila kitu kinaenda kuvurugika.
Kumbe Cristina ndie controller wa Mainswitch halafu kina Herzogg walikua hata hawajui.
images-1.jpg
 
Kutokucheza vizuri maana yake moyoni mwenu mmeweka lawama tiari, kwakuwa mlitaka awe bora mda wote.
Unashindwa kutofautisha ku state fact na ku judge.

Mtu akiwa na Kansa, tukasema fulani ana kansa, hiyo ni fact, siyo judgement.

Mchezaji hakuwa na mchezo mzuri, tukasema fulani leo hakuwa na mchezo mzuri hiyo ni fact, si judgement.

KDB jana game ilimkataa, hiyo ni fact, sijatoa judgement ama lawama kwamba ni mvivu, ana ego ama alifanya makusudi (kitu ambacho wewe ndio unamaanisha).

Sasa tofautisha lawama na ukweli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii timu kumbe misimu yote ilikua inaongoza kutokana na nguvu ya papuchi ya Cristina Serra(mke wa Pep)
Bibie baada ya kudai talaka kila kitu kinaenda kuvurugika.
Kumbe Cristina ndie controller wa Mainswitch halafu kina Herzogg walikua hata hawajui. View attachment 3247772
Hii inaongelewa kiutani ila ni ukweli ...jambo limemvuruga sana anaitaji counseling ya Hali ya juu sana ..mtu mwanaume mwenye mapumbu unatoka mahakamani baada ya kutoa talaka unalia kama mtoto unafikir mchezo, Sasa kazi zitafanyika kwa ubora ule ule...?
 
Any clip mkuu ikimuonyesha analia akitoka mahakaman
 
Hii inaongelewa kiutani ila ni ukweli ...jambo limemvuruga sana anaitaji counseling ya Hali ya juu sana ..mtu mwanaume mwenye mapumbu unatoka mahakamani baada ya kutoa talaka unalia kama mtoto unafikir mchezo, Sasa kazi zitafanyika kwa ubora ule ule...?
Injuries za wachezaji zimesababishwa na talaka?

Vipi kuhusu wachezaji kuwa out of form?

Vipi kuhusu timu kutokusajili jambo lililopelekea timu kutegemea wachezaji ambao umri umekwenda?

Tatizo la City ni complex msilirahisishe kiasi hicho.
 
KDB
Walker
Bernado
Kovacic
Gundogan
Stones
Ake
Ederson.

Hawa ni wachezaji ambao ni regular starters na wote wapo 30's.

Kati yao wapo wenye fitness issues na wengine ambao wana inconsistent perfomance.

Timu inategemea wachezaji kama hawa kwenye ligi yenye mikiki mikiki unategemea nini?

Hapa watu wanaanza kurahisisha kwa kutumia habari za talaka.
 
Hawa liverpool wangekua wanafukuzana na opponent anaejielewa kombe wangelisikia kwenye bomba.

Ni wachovu mbele kati na nyuma.

Kitu pekee kitakachowatoa na point 3 ni kutumia nafasi zao vizuri.
Unaongea pumba sana
 
Starting Xl

Ortega
Lewis
Reis
Ake
O'Reilly
Gundogan
KDB
McAtee
Bernardo
Grealish
Foden
 
Back
Top Bottom