The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

wigansuper_1726582a.jpg
 
Last 3 managers to win Fa cup all called Roberto...
2011 : Roberto Mancini
2012 : Roberto Di Matteo
2013 : Roberto Martinez
 
Tuupaaa kuuuuule hakuna kitu hapo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
City will be back next season fully loaded.
Wachezaji tunao,ila kocha hatuna.
 
Last 3 managers to win Fa cup all called Roberto...
2011 : Roberto Mancini
2012 : Roberto Di Matteo
2013 : Roberto Martinez
Roberto (bob)Martinez muhispaniola mzaliwa wa Balaguer jimbo la Catalunya mwenye shahada ya physiotherapy na postgraduate ya Biashara aliopatia chuo kikuu cha Manchester na mchezaji wa zamani Real Zaragoza,Swansea nk kadhihirisha bado waspain ni moto na muhimu ktk soka duniani kuanzia wachezaji na makocha bado Benitez ambae nae anatazamiwa j5 uefa ndogo chelsea vs benfica,maana toka aondoke liverpool haijacheza ucl na hajawahi kukosa kushiriki akiwa na liverpool,ni kama Wenger anavyojivunia rekodi hiyo toka aje arsenal hajakosa ucl kushiriki,zaidi ya hapo Man City jiliwazeni na hii nyimbo
Mbaraka Mwinshehe - Jogoo La Shamba . - YouTube
 
thanks much muzee wa saba bila ndio mpira huo mkuu..
 
Back
Top Bottom