Makalangilo
Senior Member
- Mar 9, 2009
- 130
- 18
Hii dozi inaleta starehe ndani ya moyo.Naona Man City inaweza kuwa katika Big 4 kama itakwenda na mwendo huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arsenal 3 Man City O!
Hii dozi inaleta starehe ndani ya moyo.Naona Man City inaweza kuwa katika Big 4 kama itakwenda na mwendo huu.
Huyu Tevez now yuko moto sana naomba tusikutane nae hivi karibuni
Benitez anachechemea lakini nahisi Liverpool wanaogopa compensation ambayo watamlipa Benitez kutokana na mkataba mnono aliosaini mpaka 2014.I saw this coming, adios Hughes! What's up Benitez?
I saw this coming, adios Hughes! What's up Benitez?
Ndo balaa la kusaini mikataba mireeefu, hahaha! Mtu hata kama mzuri kama 'Maximo' wakati mwingine vema kupeana awamu za miaka michache michache ili akiharibu tu mnamalizana nae kiutu uzima... Kwa sasa nadhani washamchoka tu, they have to declare that!Benitez anachechemea lakini nahisi Liverpool wanaogopa compensation ambayo watamlipa Benitez kutokana na mkataba mnono aliosaini mpaka 2014.
Mkuu hata kama wamemchoka hawana cha kufanya wangoje january wampatie kiasi kidogo dirisha dogo aongeze wachezaji palipopwaya, kwani Mike Ashley(The owner of Newcastle united) alivyomutimua Babu Keagan, court iliamuru huyu bwana alipwe pesa nyingi na club ndo hivyo ilikuwa dakika za mwisho mwisho kushuka daraja, Mike Ashley alichanganyikia akaanza kuwa mlevi mpaka ndani ya uwanja siku za mechi alikuwa akigida kilaji.Ndo balaa la kusaini mikataba mireeefu, hahaha! Mtu hata kama mzuri kama 'Maximo' wakati mwingine vema kupeana awamu za miaka michache michache ili akiharibu tu mnamalizana nae kiutu uzima... Kwa sasa nadhani washamchoka tu, they have to declare that!
hio hela wanayojaribu ku-avoid benitez inaweza kuwa cost zaidi ya hapo wakileta mchezo.Benitez anachechemea lakini nahisi Liverpool wanaogopa compensation ambayo watamlipa Benitez kutokana na mkataba mnono aliosaini mpaka 2014.
I saw this coming, adios Hughes! What's up Benitez?
This' a very confusing moment wakuu, ni kuwaombea katika kipindi hiki kigumu... Huenda wakanyakua kombe msimu huu... Ngoja tuone raundi ya pili wanaweza kuja kwa kasi mpya!hio hela wanayojaribu ku-avoid benitez inaweza kuwa cost zaidi ya hapo wakileta mchezo.
kilichomfukuzisha ni hela halizopewa na kaambiwa annue wachezaji ambao anaona wanafaa ku-challenge sasa matokeo hayakuendana na investment hiliofanyika mkuu.watu wamemwaga pesa nyingi sana.kama club haikutoa hela anazohitaji basi hasingefukuzwa.haya ni mambo ya club za matajiri mkuu si umeona chelsea pale makocha walivyobadirishwa?Shukurani ya punda! aliichukua timu ikiwa kwenye relegation zone mwaka juzi, halafu kapoteza mechi mbili tu na anaonyeshwa mlango!
mda hupo mwingi na ligi ni ngumu sana kwahio nafasi ya kuwepo pale top 4 wanayo kuhusu kombe hapo sina huakika lakini wanahitaji kufanya mabadiriko haraka sana.tatizo liverpool sio wachezaji tatizo ni benitez mtu wakubahatisha sana.kosa lake kubwa kwanza ni kumsajili aquilani kwa pesa nyingi wakati wa injury.alijua wanahitaji mtu right away kumreplace alonso.This' a very confusing moment wakuu, ni kuwaombea katika kipindi hiki kigumu... Huenda wakanyakua kombe msimu huu... Ngoja tuone raundi ya pili wanaweza kuja kwa kasi mpya!