Baada ya muda mtupi sana utaelewaHuyo kibwengo anadiriki kujifananisha na Mandela, ha ha ha🤣
Tulia weweHuyo kibwengo anadiriki kujifananisha na Mandela bila aibu, ha ha ha🤣
Hata baada ya muda mrefu sitaelewa kabisaa.Baada ya muda mtupi sana utaelewa
Situlii wewe nyau😁Tulia wewe
Kwa akili hizi huenda unaumia sana kuhusu IranTundu Antipas Lissu wakati anatukana kwa bahati nzuri alishangiliwa na Wengi akageuka kama mandela wa kizazi hiki sadly Mandela alikaa 27 years Tundu Lissu amekaa mwaka mmoja milio imeshaanza kusikika hapo bado hajafungwa na hadi rufaa yake isikilizwe.
Moja ya visababu anavyotoa ni clinic zake kuhusu makovu yake ya Risasi kwani wakati anaropoka alikua hajui kuwa anaumwa alijua Jela ni Hotelini?
Tundu Lissu is a notorious Criminal anastahili kufungwa Condemn haitaji huruma yoyote ili iwe funzo kwa vizazi vijavyo ni kama Pharaoh wa Kizazi hiki akinunikishe huko huko UKonga.
Kuhusu Kesi yake kusimama na kutosikilizwa, Judges wana workload kubwa siyo Tundu Lissu Pekee aliyoko Gerezani kuna watu wengi wako gerezani majaji wanasikiliza kesi za watu wengine kuna session ya Kesi za Mauaji zinaendelea na mawakili wa Serikali walewale wana prosecute hizo kesi.
Apunguze Milio mpaka pale Mashahidi wote wamalizike na majaji waangalie kama Prima-facie case has been established then afanye defence halafu closing submission then Judgement safari ni ndefu akiwahi sana 2028 kesi yake inaweza kumalizika elewa neno kumalizika siyo kuachiwa .
View attachment 3565969View attachment 3565970
wabillahi taufiq
assalamu alaikum
Tundu Lissu is to Tanzanians what Tata Mandela was to South Africans.Huyo kibwengo anadiriki kujifananisha na Mandela bila aibu, ha ha ha🤣
Kumbe now kesi yake ni ya kutukana na kuropoka?Tundu Antipas Lissu wakati anatukana kwa bahati nzuri alishangiliwa na Wengi akageuka kama mandela wa kizazi hiki sadly Mandela alikaa 27 years Tundu Lissu amekaa mwaka mmoja milio imeshaanza kusikika hapo bado hajafungwa na hadi rufaa yake isikilizwe.
Moja ya visababu anavyotoa ni clinic zake kuhusu makovu yake ya Risasi kwani wakati anaropoka alikua hajui kuwa anaumwa alijua Jela ni Hotelini?
Tundu Lissu is a notorious Criminal anastahili kufungwa Condemn haitaji huruma yoyote ili iwe funzo kwa vizazi vijavyo ni kama Pharaoh wa Kizazi hiki akinunikishe huko huko UKonga.
Kuhusu Kesi yake kusimama na kutosikilizwa, Judges wana workload kubwa siyo Tundu Lissu Pekee aliyoko Gerezani kuna watu wengi wako gerezani majaji wanasikiliza kesi za watu wengine kuna session ya Kesi za Mauaji zinaendelea na mawakili wa Serikali walewale wana prosecute hizo kesi.
Apunguze Milio mpaka pale Mashahidi wote wamalizike na majaji waangalie kama Prima-facie case has been established then afanye defence halafu closing submission then Judgement safari ni ndefu akiwahi sana 2028 kesi yake inaweza kumalizika elewa neno kumalizika siyo kuachiwa .
View attachment 3565969View attachment 3565970
wabillahi taufiq
assalamu alaikum
Only people devoid of history can claim that.Tundu Lissu is to Tanzanians what Tata Mandela was to South Africans...
Wanamtandao uwezo wao ni kuua kwa sumu tu akili hawanaTundu Lissu is to Tanzanians what Tata Mandela was to South Africans.
Kumbe now kesi yake ni ya kutukana na kuropoka?
Mashahidi wote wa uongo wamedhalilikaKwanini kesi yake imehairishwa juu kwa juu , Jamhuri imekimbilia mahakama ya rufani.
Hadi sasa hakuna ushahidi wowote wa maana wa kusema Lissu ni mhaini , endeleeni kuruka ruka tu.
Maana mashahidi wote wa kupangwa kila mtu ni video ya YouTube.
Tuanze na report ya CAG..tusiwachambe, tuwashtaki!Tundu Antipas Lissu wakati anatukana kwa bahati nzuri alishangiliwa na Wengi akageuka kama mandela wa kizazi hiki sadly Mandela alikaa 27 years Tundu Lissu amekaa mwaka mmoja milio imeshaanza kusikika hapo bado hajafungwa na hadi rufaa yake isikilizwe.