The matter concerning Lissu will be dealt with by the court accordingly

The matter concerning Lissu will be dealt with by the court accordingly

Tundu Antipas Lissu wakati anatukana kwa bahati nzuri alishangiliwa na Wengi akageuka kama mandela wa kizazi hiki sadly Mandela alikaa 27 years Tundu Lissu amekaa mwaka mmoja milio imeshaanza kusikika hapo bado hajafungwa na hadi rufaa yake isikilizwe.

Moja ya visababu anavyotoa ni clinic zake kuhusu makovu yake ya Risasi kwani wakati anaropoka alikua hajui kuwa anaumwa alijua Jela ni Hotelini?

Tundu Lissu is a notorious Criminal anastahili kufungwa Condemn haitaji huruma yoyote ili iwe funzo kwa vizazi vijavyo ni kama Pharaoh wa Kizazi hiki akinunikishe huko huko UKonga.

Kuhusu Kesi yake kusimama na kutosikilizwa, Judges wana workload kubwa siyo Tundu Lissu Pekee aliyoko Gerezani kuna watu wengi wako gerezani majaji wanasikiliza kesi za watu wengine kuna session ya Kesi za Mauaji zinaendelea na mawakili wa Serikali walewale wana prosecute hizo kesi.

Apunguze Milio mpaka pale Mashahidi wote wamalizike na majaji waangalie kama Prima-facie case has been established then afanye defence halafu closing submission then Judgement safari ni ndefu akiwahi sana 2028 kesi yake inaweza kumalizika elewa neno kumalizika siyo kuachiwa .
View attachment 3565969View attachment 3565970


wabillahi taufiq
assalamu alaikum
It's better you say it is beeing dealt with by a certain small evil gang
 
Mkuu hiyo badge ya verified nakuomba itoe tu.

Maana wewe ni mjinga verified
 
Suala la Lisu kwa mwanasheria hata wa mwaka wa kwanza tayali anajua hata content za ndani ya kitabu kwa kusoma coverpage yake peke yake
 
Back
Top Bottom