The Mau Mau, its spy unit, the Komerera and the women combatants.

Haohao wavuta bange wenu ndo waliokuja kujirundikia mali na kupora ardhi bwana wenu wakizingu alivyowapa mwanya
Acha utoto wewe. Mau Mau walipora mashamba au wao ndio walinyanganywa mashamba yao? Ulifika darasa la nne kweli? Mau Mau walikuwa wakati wa mkoloni tu. Historia ambayo hata mtoto wa darasa la tano anaelewa vyema. Acha kujiabisha ubishi wako upeleke kwenye maswala ambayo unayaelewa.Yale ya Zari na Mobetto.
 
Si haohao majambazi ya kikuyu kwani hayapo tena sa hv kenya.....yamerithisha roho zao za wizi na uporaji hadi kwa mavitukuu yao ....mijizi hio akina Kenyata na wakikuyu wenzake
 
Baada ya hayo yote wakawafanya shamba la bibi hadi leo.
Wamekalia ardhi hadi leo na.mnasema walipigania uhuru hahaha walipigania uhuru au walipigania kula sahani 1 na wazungu huku wengine mkijificha kwenye mafulusuti tu...huku shamba la bibi enzi hizo sio nyakati za Magu ila huko mtakua ma squater wa kwenye mafulusuti hadi Yesu arudi
 
Si haohao majambazi ya kikuyu kwani hayapo tena sa hv kenya.....yamerithisha roho zao za wizi na uporaji hadi kwa mavitukuu yao ....mijizi hio akina Kenyata na wakikuyu wenzake
Ni nani huyo aliyekuambia kwamba Kenyatta alikuwa Mau Mau? Hapa hatuongei kuhusu wakikuyu, tunaongea kuhusu Mau Mau. Wamaasai, wakalenjin, wakamba, wameru, waluo hadi na wasomali walikuwa kwenye Mau Mau. Tafadhali anzisha uzi mwingine kuhusu bifu zako na wakikuyu. Hayatuhusu.
 
Kaanzishe huko kwenu huku tushawaambia ni banda letu la kuku acheni kutuletea habari za wavuta bange wenu hao wezi na waporaji
 
Screenshot_20180316-200404.jpg

Mporaji mkuu
 
Kaanzishe huko kwenu huku tushawaambia ni banda letu la kuku acheni kutuletea habari za wavuta bange wenu hao wezi na waporaji
Mimi sijakuletea wewe habari, maanake sio lazima uisome. Ila punguza pumba usije ukatuambukiza ujinga.
 
Na mimi sikuandikii wewe pita vile na kama hutaki nenda kaandikie watoto wako kwenye fulusuti lako
 
The Mau Mau memorial park at Uhuru Park. Lest we forget the sacrifice of the freedom fighters and also all those who suffered because of the conflict of the uprising.
qhghev9l7bwpyzqbs5604451a62a09.jpg
mau-mau-monument.jpg
maumau.jpg
 
I love the MAU MAU, tulinyakua Uhuru si kupewa kama wabongo
You can say that again and again brother. The Mau Mau rebellion was the ultimate sacrifice for the liberation of our beloved nation Kenya.
 
Back
Top Bottom