mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Bange mingi tunaitoa pale Malawi...yani Malawi Gold😀😀Ipo kwan hadi leo hawapori hao na si wezi?? Kikundi cha wavuta bange tu hiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bange mingi tunaitoa pale Malawi...yani Malawi Gold😀😀Ipo kwan hadi leo hawapori hao na si wezi?? Kikundi cha wavuta bange tu hiko
Acha utoto wewe. Mau Mau walipora mashamba au wao ndio walinyanganywa mashamba yao? Ulifika darasa la nne kweli? Mau Mau walikuwa wakati wa mkoloni tu. Historia ambayo hata mtoto wa darasa la tano anaelewa vyema. Acha kujiabisha ubishi wako upeleke kwenye maswala ambayo unayaelewa.Yale ya Zari na Mobetto.Haohao wavuta bange wenu ndo waliokuja kujirundikia mali na kupora ardhi bwana wenu wakizingu alivyowapa mwanya
Si haohao majambazi ya kikuyu kwani hayapo tena sa hv kenya.....yamerithisha roho zao za wizi na uporaji hadi kwa mavitukuu yao ....mijizi hio akina Kenyata na wakikuyu wenzakeAcha utoto wewe. Mau Mau walipora mashamba au wao ndio walinyanganywa mashamba yao? Ulifika darasa la nne kweli? Mau Mau walikuwa wakati wa mkoloni tu. Historia ambayo hata mtoto wa darasa la tano anaelewa vyema. Acha kujiabisha ubishi wako upeleke kwenye maswala ambayo unayaelewa.Yale ya Zari na Mobetto.
Wamekalia ardhi hadi leo na.mnasema walipigania uhuru hahaha walipigania uhuru au walipigania kula sahani 1 na wazungu huku wengine mkijificha kwenye mafulusuti tu...huku shamba la bibi enzi hizo sio nyakati za Magu ila huko mtakua ma squater wa kwenye mafulusuti hadi Yesu arudiBaada ya hayo yote wakawafanya shamba la bibi hadi leo.
Ni nani huyo aliyekuambia kwamba Kenyatta alikuwa Mau Mau? Hapa hatuongei kuhusu wakikuyu, tunaongea kuhusu Mau Mau. Wamaasai, wakalenjin, wakamba, wameru, waluo hadi na wasomali walikuwa kwenye Mau Mau. Tafadhali anzisha uzi mwingine kuhusu bifu zako na wakikuyu. Hayatuhusu.Si haohao majambazi ya kikuyu kwani hayapo tena sa hv kenya.....yamerithisha roho zao za wizi na uporaji hadi kwa mavitukuu yao ....mijizi hio akina Kenyata na wakikuyu wenzake
Kaanzishe huko kwenu huku tushawaambia ni banda letu la kuku acheni kutuletea habari za wavuta bange wenu hao wezi na waporajiNi nani huyo aliyekuambia kwamba Kenyatta alikuwa Mau Mau? Hapa hatuongei kuhusu wakikuyu, tunaongea kuhusu Mau Mau. Wamaasai, wakalenjin, wakamba, wameru, waluo hadi na wasomali walikuwa kwenye Mau Mau. Tafadhali anzisha uzi mwingine kuhusu bifu zako na wakikuyu. Hayatuhusu.
Ni nani huyo aliyekuambia kwamba Kenyatta alikuwa Mau Mau? Hapa hatuongei kuhusu wakikuyu, tunaongea kuhusu Mau Mau. Wamaasai, wakalenjin, wakamba, wameru, waluo hadi na wasomali walikuwa kwenye Mau Mau. Tafadhali anzisha uzi mwingine kuhusu bifu zako na wakikuyu. Hayatuhusu.
Mimi sijakuletea wewe habari, maanake sio lazima uisome. Ila punguza pumba usije ukatuambukiza ujinga.Kaanzishe huko kwenu huku tushawaambia ni banda letu la kuku acheni kutuletea habari za wavuta bange wenu hao wezi na waporaji
Na mimi sikuandikii wewe pita vile na kama hutaki nenda kaandikie watoto wako kwenye fulusuti lakoMimi sijakuletea wewe habari, maanake sio lazima uisome. Ila punguza pumba usije ukatuambukiza ujinga.
Na mimi sikuandikii wewe pita vile na kama hutaki nenda kaandikie watoto wako kwenye fulusuti lako
You can say that again and again brother. The Mau Mau rebellion was the ultimate sacrifice for the liberation of our beloved nation Kenya.I love the MAU MAU, tulinyakua Uhuru si kupewa kama wabongo