Pezzonovante
JF-Expert Member
- May 1, 2008
- 638
- 41
- Thread starter
-
- #81
halafu ni makosa makubwa sana kupima nguvu za kijeshi kwa bajeti ya mwaka na kwa vifaa bora peke yake. Nguvu ya jeshi ni zaidi ya vifaa japo navyo ni sehemu muhimu. Lakini nje ya silaha kuna mambo mengi lukuki yakiwemo uzoefu wa kivita wa jeshi, uzalendo wa wanajeshi, mbinu (na hapa ni pa muhimu sana). Katika mbinu ni pamoja na uwezo wa kutumia silaha uliyo nayo kwa kiwango cha juu, uwezo wa kumsoma adui yako, kujua mbinu zake na kuweza kumwingiza mtegoni au kutibua mipango yake au kuwahi kumshambulia kabla hajafanya kitu, kuwa na spidi kali na kumzidi adui katika uwanja wa vita, nk. Nk.
How u figured that?Kenya has the best training and equipment. Now it is true Kenya has no experience fighting in a foreign country but the fact is they have better training, meaning they are better prepared for the military challenge that Kenya could face. Uganda has more "experience" partly because they are not an effective military. They should have finished off LRA decades ago but instead they have fought them for over 20 years, gathering experience I guess. Kenya misses out on experience because it eliminates organized armed groups on its territory too quickly.
How u figured that?
I also read news that Obama was born in Kenya.I read news.
I also read news that Obama was born in Kenya.
Si kweliBora hao Kenya na Uganda at least fleet yao kwenye airforce inatia moyo kuliko sisi bongo ambao tuna outdated and old Mig fighters za mwaka 1973 kule Ngerengere tena zipo nne tu, na sijui hata kama zinaruka!
Si kweli
Mig 29s, Gripen multitask fighters,mig-21s (f7s improved with italian navigation)....Haya basi mkuu tujuze hiyo fleet ya airforce yetu.
Mig 29s, Gripen multitask fighters,mig-21s (f7s improved with italian navigation)....
kenya, uganda na nchi nyingne yoyote is no match kwa Tanzania, mkitaka kujua waulizeni uganda, na mkitaka kuamini zaidi, waulizeni CHADEMA, tanzania inatisha, na ikiona inazidiwa, inarudi kwa kamati za ufundi zinakaa, utashangaa ndege zinatua zenyewe katika viwanja vya ndege vya bongo, na zingine zinaanguka bila kupigwa....chezea bongo weye....tuna silaha za nzungu, na za asili(za babu)
What about portugal?.. 1975Mkuu tusijitie misifa kwa kutoa kichapo kwa jeshi kibonde la Idd Amin. Ni sawa na kumpiga mjinga alafu mtu ujisifie.
I read news.