The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!


Gadem.... huyu mdada nimeshamjua. Hakyamama nina kipaji kama Alshaabab.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia , si vibaya kuyafahamu kwa staili hii, i expected this, and now it is out for all of us to hear!! ila ni vyema kama mambo yakiwa magumu huko, kuvumilia kuto kuleta identity za watu humu, maana that was not part of the deal....
 
Ila MRAlteeza kapuyanga puyanga sana humu eeh, mpaka walokole.
 
Last edited by a moderator:
Lara1 si udondoke story nzima kuliko kutupa kwa episode
 
We Viol wewe ulijuaje sasa kuwa anapenda chini?? nifah unaona sasa?

Hahahaaa,kwakweli nimecheka balaa...
Kwahili simtetei Viol kabisa.Na atueleze kajuaje huyo mlokole anapenda chini.
 
Last edited by a moderator:
Ni hi hii babu ODM ila nilifanya matengenezo kidogo tuu kwa sababu mbali mbali lkn hii sio mojawapo.

Hii ID sina kumbukumbu kama ilishaingia kwenye list ya wajukuu zangu niliowakagua.....

Hebu twende PM tukapange mikakati ya ukaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…