The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Hahahaaa,kwakweli nimecheka balaa...
Kwahili simtetei Viol kabisa.Na atueleze kajuaje huyo mlokole anapenda chini.

Tena we ndio bingwa wa kumtetea kwa kila madhambi yake, we endelea tu na mtanieleza huu utetezi ulianzaanzaje!
 
Last edited by a moderator:
Tena we ndio bingwa wa kumterea kwa kila madhambi yake, we endelea tu na mtanieleza huu utetezi ulianzaanzaje!

Hahahaaa,jamani mimi nifah hua napenda kutetea kile ninachokiona ndio sahihi.
Mimi ile siku niliyomtetea niliona hana kosa ila leo kwakweli simtetei kabisa.Naona kajisahau hadi karopoka.Na aseme ukweli. ..lol
 
Last edited by a moderator:
lara 1 kumbuka kwenye blacklist wewe ni namba 2..so we tuzungushe tuuuuu..ila uturudishe hapo.

Hahahaaaaa! Eti black list!! Bora umemkumbusha maana!! Ila hii itakuwa ikiendelea huku akisubiri ile jf party sasa hizi ni zile za chap chap kabla ya kugoogle lara
 
Last edited by a moderator:
uzi huu naona utaondoka na id za watu so soon.
 
Hahahaha Watu8 dai fidia aisee...

Jamaa kala mzigo kwa jina lako


 
Last edited by a moderator:
hhhahhaaaaaaahhhaaa

kusutwa ndo habari ya mjini tena walete na keki juu na champaigne plus sare ya dira

mpapa wauze wenyewe kwa mr. biography...!!!
msuto wanileteeeer mie
weraaaaaaaa

lara leo nimekupenda mpk kumoyooo

Mwalimu weekly test ushasahihisha lkn?
 
Kudadaddeki.......





Wanaume humu ndani mnafaidi aisee
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! Eti black list!! Bora umemkumbusha maana!! Ila hii itakuwa ikiendelea huku akisubiri ile jf party sasa hizi ni zile za chap chap kabla ya kugoogle lara
i know..ila nimemkumbusha tu..coz naisubiri kwa hamu hiyo part
 
Sina genge wala duka..pia nasoma ninachojisikia kusoma hata usipotaka...we hata ukipanic mi ntaendelea kukukumbusha..

Hahahahaaaaaaaa! LEO UNAWAKANA WENZIO MARA 3 KAMA PETRO AYA JOGOO KESHAWIKA! Hahahahaaa! WHEN WILL YOU PEOPLE START PUTTING HONOR IN YOUR WORDS! HAHAHAAAAAAAAAA! Huna genge! :lol::lol::lol:.

Anyway dont act as if nothing happened WE AINT COOL FOR THE RECORD!:juggle::juggle::juggle:
 
Hahahaaa,jamani mimi nifah hua napenda kutetea kile ninachokiona ndio sahihi.
Mimi ile siku niliyomtetea niliona hana kosa ila leo kwakweli simtetei kabisa.Naona kajisahau hadi karopoka.Na aseme ukweli. ..lol

Yaani bado tu unamtetea, kweli aote na aseme hadharani alafu umtetee!!! Ila bora alivyosema amesababisha nimpe asilimia 1 ya kuwa silent killer teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:

Huyu jamaa mwepesi tu, yuko frustrated na ana tatizo la kutokuwa na confidence, anadhani amepata ridhiko ingawa bado ana mspungufu makubwa kisaikolojia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…