The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Hahahaaa,kwakweli nimecheka balaa...
Kwahili simtetei Viol kabisa.Na atueleze kajuaje huyo mlokole anapenda chini.

Tena we ndio bingwa wa kumtetea kwa kila madhambi yake, we endelea tu na mtanieleza huu utetezi ulianzaanzaje!
 
Last edited by a moderator:
Tena we ndio bingwa wa kumterea kwa kila madhambi yake, we endelea tu na mtanieleza huu utetezi ulianzaanzaje!

Hahahaaa,jamani mimi nifah hua napenda kutetea kile ninachokiona ndio sahihi.
Mimi ile siku niliyomtetea niliona hana kosa ila leo kwakweli simtetei kabisa.Naona kajisahau hadi karopoka.Na aseme ukweli. ..lol
 
Last edited by a moderator:
lara 1 kumbuka kwenye blacklist wewe ni namba 2..so we tuzungushe tuuuuu..ila uturudishe hapo.

Hahahaaaaa! Eti black list!! Bora umemkumbusha maana!! Ila hii itakuwa ikiendelea huku akisubiri ile jf party sasa hizi ni zile za chap chap kabla ya kugoogle lara
 
Last edited by a moderator:
uzi huu naona utaondoka na id za watu so soon.
 
Hahahaha Watu8 dai fidia aisee...

Jamaa kala mzigo kwa jina lako


Nikasema nikataka kumwambia mi The Boss, lakini nikajikuta tu nasema mimi Watu 8, the imposturee. Basi kipindi hiko Lara 1 anamsifia watu 8 hatariiii. Basi ananiuliza so kweli you are hot kama wanavosema kina Lara, those girls lazima wakutaje, haiishi siku. Namwambia why dont you find out for yourself?. Basi kakapagawaaa! Alivompanaa akaenda kuwauliza watu walioenda party huyu watu 8 yukoje? Akapata positive review, nitumie pichaa, nikamtumia yangu, akadataaa. Nacho shukuru Mungu ni watu 8 kafunga PM so there is no way ange m PM na kujua mimi ni imposture. Basi nikakatoa out, kamelgeaaa, nikasema hii hailali wala simpeleki home, nachukua room hapa hapa. Tumekunywa nikamwambia tuamie chumbani, akakubali, kazi ikaisha. Sema mambo hakajui wala nini masharti kibaoo, sishiki MIC, sijui nini. Aaaarggh! Kesho kani text Bae! WTF! Nikakaptezea mdogo mdogo. Nikamuuliza yule mchizi ile kazi ushaifanya? Yani kashamla yule demu? Mchizi akajibu kwa masikitiko kaniambia hawezi kukutuna coz yuko comitted na watu8 they are dating in a serious relationship! Hahahahaaaaaaaa! :lol::lol::lol::lol::lol:! Nikasema watu8 eeeeh? Wachaaaaa! huyu watu8 mshenzi kweliii, kakuzibia rizki! Akasema ndo hivoo. Watu 8 nisamehe kwa yote, na bi dada it wasnt wasnt the real watu8 it was me the silent killer, the imposture! Ila kiukweli haikuwa uungwana kufunga goli kwa mkono kama Pele.:lol:

INAENDELEA BAADAE! NAENDA LUNCH KWANZAAA, LOOOH! Japo nimelipwa lakini si kihiviiii. Tukutane Saaa 9 KWA MUENDELEZO.
 
Last edited by a moderator:
hhhahhaaaaaaahhhaaa

kusutwa ndo habari ya mjini tena walete na keki juu na champaigne plus sare ya dira

mpapa wauze wenyewe kwa mr. biography...!!!
msuto wanileteeeer mie
weraaaaaaaa

lara leo nimekupenda mpk kumoyooo

Mwalimu weekly test ushasahihisha lkn?
 
Kudadaddeki.......




95%???? Hapo umemshushia heshima lara 1.... Hii makitu ni ukweli kwa 100. Kama akiendelea kufichaficha ntamuomba kibali cha kupigwa ban nawataja wote hadharani....

Dogo kawafanya mbaya hawa wamama.... Namwonea huruma yule wa ...... ngoja nimstahi kwanza.

Wanaume humu ndani mnafaidi aisee
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! Eti black list!! Bora umemkumbusha maana!! Ila hii itakuwa ikiendelea huku akisubiri ile jf party sasa hizi ni zile za chap chap kabla ya kugoogle lara
i know..ila nimemkumbusha tu..coz naisubiri kwa hamu hiyo part
 
Sina genge wala duka..pia nasoma ninachojisikia kusoma hata usipotaka...we hata ukipanic mi ntaendelea kukukumbusha..

Hahahahaaaaaaaa! LEO UNAWAKANA WENZIO MARA 3 KAMA PETRO AYA JOGOO KESHAWIKA! Hahahahaaa! WHEN WILL YOU PEOPLE START PUTTING HONOR IN YOUR WORDS! HAHAHAAAAAAAAAA! Huna genge! :lol::lol::lol:.

Anyway dont act as if nothing happened WE AINT COOL FOR THE RECORD!:juggle::juggle::juggle:
 
Hahahaaa,jamani mimi nifah hua napenda kutetea kile ninachokiona ndio sahihi.
Mimi ile siku niliyomtetea niliona hana kosa ila leo kwakweli simtetei kabisa.Naona kajisahau hadi karopoka.Na aseme ukweli. ..lol

Yaani bado tu unamtetea, kweli aote na aseme hadharani alafu umtetee!!! Ila bora alivyosema amesababisha nimpe asilimia 1 ya kuwa silent killer teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naomba nikuthibitishie...ingawa vitu vingi amevibadilisha ili watu wengi wasimfahamu...lakini hii story ni 95% true. Sijajua lengo la mwandishi ni nini kwa kweli ila ndo ivo yani dah!

dah!

dah!

dah!

The nigga is not serious!!!! ( Karucee, kuna ile inner voice inakuambia this story has something....)

Huyu jamaa mwepesi tu, yuko frustrated na ana tatizo la kutokuwa na confidence, anadhani amepata ridhiko ingawa bado ana mspungufu makubwa kisaikolojia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom