The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Hahahahahahahahahaha,uuuuuuuwih!!
Wallahi lewooo kende zimekuwa ndogo kama punje za ngano!!
Hahahahaha cacicooooooooooooo ukuje!
BADILI TABIA njoo shogaaangu!
Kongosho mume wenu kataitowa huku!!
Aseeeeeeeeh

Asa ndo mpaka uwaite wake za ujana wangu? Kwa taarifa yako cacico alinisaidia sana kumpata mlokole. wake zangu hawana wivu kiviiiile
 
Last edited by a moderator:
Story ya mwisho ni kweli,ingawa kuna chumvi kidogo
 
mtumaji wa post hii inaonekana una matatizo makubwa ya kutumia lugha ya kiingereza kaa tena chini usome lugha hii hasa katika mambo ya sheria ya lugha (grammar) na masuala ya sentence structure (syntax ) uko vibaya sana katika mambo haya alafu hakuna ufahari wowote kutumia kiingereza wakati hukijui vizuri ahsante kwa leo!!

karibu tena
 
Hio dume ni 0.5 ni speculations alizosikia toka ufukunyuku,huyo mtu anavodai hakuna anaemjua. Hatumi picha, na kama mdada anamuona siku ya kugegedwa. Hakuhisi alitonywa na wauza ubuyu humu ndani. Kama wanavosema Asprin mzee. Mfano!
NA MKINIPA HINT DUME DADA NI NANI MBONA SIKAII KUMSHOBOKEAAAAA! :lol:

Unaanza kuniharibia ujue. Anayebisha mi si babu kizee ni nani? Hahahah au hujui uzee JF ni chambo??
 
Hujamjua dume dada ni nani? Hahahaaaa pole sana, Hata mimi wa juzijuzi hapa MMU Lakini tayari nimesha mjua.

By the way it's too late caz ulisha mshobokea sana yani.
Hint: cheki nimejiunga lini JF then from that time to date Angalia nani ulikuwa una mshobokea sana,😄😄😄😄

Ndo yule kila saa ana mmention kwa chini? Walileteana mapenzi ya kisanii flan hivi?
 
Back
Top Bottom