The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

mmu is realy interesting asee,,n the narrator ako na kipaji ya kuadithia hadithi
 
Embu nipe ubuyu pm huo, Mimi nawashobokea wengi. VinD mweupe sawa ila mmakua kabisa yuleee jamani. Wengine wabongo tu. Or maybe sijui kama ni half cast. Please do the needful PM.

Mi nshamjua dume dada
 
nipo mkuu ni maisha tuu yanaendelea kubana, kwa sasa nipo sehemu 3G ni janga ndio mana kuingia kwa kuvizia, ila na wewe umenitupa!!!

pole sana na mimi majukumu yameongezeka sana sijakutupa
 
ohoo...!!
hapa huchelewi kuchorwa hapa...!!

ukajikuta umejijuu!!

aaah sanaaaaa tena hakuna aliye si wadada wala wakaka wote wanatembea na diary lol huyu lara 1 kama.haiendelei si aseme tulale
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom