Kwani wewe wa wapi?
Hahahahahahahahahaha,uuuuuuuwih!!
Wallahi lewooo kende zimekuwa ndogo kama punje za ngano!!
Hahahahaha cacicooooooooooooo ukuje!
BADILI TABIA njoo shogaaangu!
Kongosho mume wenu kataitowa huku!!
Aseeeeeeeeh
hahaha waunde umoja waje wajiteee wote waliopitiwa na silent killer (kidding)
miss neddy katika ubora wake
kama bazazi zeee mbona mi kisik cha mpingo umenishindwa
Unakana wakati comment ipo
Nikatamka kabisaaaa kuwa ni kaka yangu?
Labda tunaaminiana
mtumaji wa post hii inaonekana una matatizo makubwa ya kutumia lugha ya kiingereza kaa tena chini usome lugha hii hasa katika mambo ya sheria ya lugha (grammar) na masuala ya sentence structure (syntax ) uko vibaya sana katika mambo haya alafu hakuna ufahari wowote kutumia kiingereza wakati hukijui vizuri ahsante kwa leo!!
Hio dume ni 0.5 ni speculations alizosikia toka ufukunyuku,huyo mtu anavodai hakuna anaemjua. Hatumi picha, na kama mdada anamuona siku ya kugegedwa. Hakuhisi alitonywa na wauza ubuyu humu ndani. Kama wanavosema Asprin mzee. Mfano!
NA MKINIPA HINT DUME DADA NI NANI MBONA SIKAII KUMSHOBOKEAAAAA! :lol:
hahaaaaahhhaaaaaa
bass nkajua nawe umo bwanaaa....!!(natania)
waunde kabisa umoja wao
karibu tena
mimi huyo niwemo kwenye list never on earth lol kwanza kupata namba yangu ni kibarua kigumu sana kuliko kufuzu ukomandoo fbi lol
Mpaka leo hunifahamu naishi wapi?
asituharibie pozi
material mengine yanachosha!!
bora mtu ukimbie coarse kabla ya kufuzu...
Hujamjua dume dada ni nani? Hahahaaaa pole sana, Hata mimi wa juzijuzi hapa MMU Lakini tayari nimesha mjua.
By the way it's too late caz ulisha mshobokea sana yani.
Hint: cheki nimejiunga lini JF then from that time to date Angalia nani ulikuwa una mshobokea sana,😄😄😄😄
Story ya mwisho ni kweli,ingawa kuna chumvi kidogo
Nitajulia wapi sasa?
hhhaawaaahhhhhaaaaaaa!!!
gramar kwani necta hii..?
Mmmmh! Umejuaje? Au ndio wewe?