Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Usifanye nikatoa siri ya ile mimba yangu uliyochomoa.
hhahahhaaa hauwezi mziki wa watoto wa mjini huyu!!Mpeni tempo huyo asituletee balaa lake, kwenda cku mbili kwa ras simba anajiona malkia
Tunahitaji kukutana kama kamati ili tujue kama hiki kidume ni mmoja wa wanachama wetu. Sababu nyingine ya kunywa nyagi kwa wingi.
hhhaaaahhaaaaa....!!.
We km mie!humu story tu
Embu nipe ubuyu pm huo, Mimi nawashobokea wengi. VinD mweupe sawa ila mmakua kabisa yuleee jamani. Wengine wabongo tu. Or maybe sijui kama ni half cast. Please do the needful PM.
Ushanifanya yahya
Hell no
umeona eeeh
Ndo yule kila saa ana mmention kwa chini? Walileteana mapenzi ya kisanii flan hivi?
upo.za masiku tele
Hahahahhaha...upo kwenye watchlist!
Hahaha huyu jamaa kamzidi hadi 'birthday boy!' hahahahahahaha
nipo mkuu ni maisha tuu yanaendelea kubana, kwa sasa nipo sehemu 3G ni janga ndio mana kuingia kwa kuvizia, ila na wewe umenitupa!!!
ohoo...!!
hapa huchelewi kuchorwa hapa...!!
ukajikuta umejijuu!!
ndo maana NakupendaHahaaaaa! Sio hivyo bwana, nisijue unapoishi usingizi wangu maisha yatakwenda kweli?
Ningezimia huku natyp right now