Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mambo mengine watu wanayakuza tu.
Hapo ukimuuliza kama ameexperience tabia za hivyo mara ngapi kutoka kwa proffesions zingine utasikia oooh nimeshuhudia yamemkuta flani, sijui ndugu yangu, mara mjomba khaaaa watupisheeeeeee!
Ikibidi waanze kusomesha watoto zao ualimu ili watengeneze kizazi cha wake bora!
Hivi kumsema mume mbele ya watoto nako kunatokana na taaluma ya mtu kweli? Duhhhh ngachoka mie watu wanavyotishana aiseee!
tatizo watu wana mentality zao walizojazana sasa wanazihalalisha kuwa ndio maisha yalivyo bwana, tabia ni ya mtu mmoja mmoja trust me wananaowakimbilia ni wale wakware wanaohisigi kuibiwa tuuu km waibavyo wao, maana wanajua wale kuwabana ni rahisi