The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Ahsante sana lara 1 kwa kunipa hii janjajanja..... Watu8 amsore mpwa... kuna kabinti itabidi nikatafune kwa kutumia ID yako. Endelea hivyohivyo kufunga PM yako ili lisije likagangaburuka.

Na hivi laramoko kashaniita mi ni lijendi wa MMU, naweza kusafira nyota yako au ya umaarufu wangu kukatafuna haka kabinti. Eshy m.s be prepared.... am cummmmming beibeeeeee.....
 
Last edited by a moderator:
Hahah...kweli mjini chuo kikuu...kijijini chekechea...no hard feelings though!!!

 
Sasa mpwa mbona unakashtua...teh teh!!!

 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaa! Acheni fujo! miss chagga tunapanda gari moja kwenda Moshi, siwezi kumtaja, CUT HER SOME SLACK SHE IS SMART INDEED!

Mmmmh!! Mbona wamtetea sn au ndio waarabu wa pemba?? Ila haya mambo hayajui huyu, uwiii cmpatii picha miss chagga katandaza shanga, khaaa hv anazijua kwanza huyu!!!
 
Last edited by a moderator:
Basi wewe na Watu8 hamjui SMAKAI SASA NDO WATAPATA CONFIDENCE KUWA HUMU NDANI MAMBO KUPEANA TUUUUU! Wasiwasi unatwatoka wote. Huwajui wasichana wewe, kivumacho ndo wakifanyacho!

Hao ndo mapapa wenyewe. Wanapambana na wavuvi
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mshenzi wewe umenicheksha mpaka mkojo umgonga chupi! Shwaini kweli.

Hahahaa dada noma sana, trela tuu jamaa kafungua turbo na shanga kiunoni, picha lingeanza sijui ingekuaje. Ila lara hauoni kama huyo dada ni mjasiria mali haumtendei haki kwa kutoweka walau hata initiatial tuu ya kwanza. Kwi kwi kwi..
 
Last edited by a moderator:
Mbona kila page lazima nione comment ya Miss Chaga?!! Kama anazuga na kujistukia fulani, hahahaaaaa no hard feeling miss chaga.

Kumbe MMU ni kama ule mtandao wa Badoo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…