Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nyie acheni tu.Hadi sasa hivi sijanywa hata chai najaribu hata kujenga picha ya wahusika nashindwa!
Yote hii sababu nilichelewa kujiunga humu JF aiseee.
Nasubiri nione unayefanana naye, kuchelewa kujiunga sio sababu maana story inaendelea ujue! Unaweza kuta nyingine ni ya juzi