Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua nasubiri response yako kwa hamu sana.Yaani dume zima unaenda kukaguliwa? Au mimi ndio sielewi maana ya ukaguzi?
Hahahaaa!
Wewe nawwweeee tummma messsejji
Nyie shikaneni ugoni tu. Ohoooooo! Mkimaliza mniambie WHO THE https://jamii.app/JFUserGuide IS SILENT KILLER?
Wadada mmaaarufu mpooooooo?
Naogopa kujibu maana mwalimu atakasirikaShikamoo!
Hii ID sina kumbukumbu kama ilishaingia kwenye list ya wajukuu zangu niliowakagua.....
Hebu twende PM tukapange mikakati ya ukaguzi
Hebu nikumbushe ID yako ya zamani..... lol
Hii shkamoo najua ni ya kutafutia umbea. Ukinifuata PM naweka mambo hadharani.....
Gadem.... huyu mdada nimeshamjua. Hakyamama nina kipaji kama Alshaabab.
Mzee mwenzangu...konyagi leo inashuka taratibuuuu kbs...
Kesho tuonane kama kamati..cc naniliuu
Nilikua nasubiri response yako kwa hamu sana.Yaani dume zima unaenda kukaguliwa? Au mimi ndio sielewi maana ya ukaguzi?
Hahahaaa!
Utasutwa na mashujaa band! Hahaaaaa!
The thread really psyched you .Mimi naomba nikuthibitishie...ingawa vitu vingi amevibadilisha ili watu wengi wasimfahamu...lakini hii story ni 95% true. Sijajua lengo la mwandishi ni nini kwa kweli ila ndo ivo yani dah!
dah!
dah!
dah!
The nigga is not serious!!!! ( Karucee, kuna ile inner voice inakuambia this story has something....)
We nawe si umalizie haka kaumbea?? Dume zima nimekaa hapa nakodoa mimacho hapa wakati wadau wananisubiri Hisaje nikaziadhibu Guinness za baridi.
hivi hii inawahusu na wale wabeba boksi eti
We nawe si umalizie haka kaumbea?? Dume zima nimekaa hapa nakodoa mimacho hapa wakati wadau wananisubiri Hisaje nikaziadhibu Guinness za baridi.
lara 1 kumbuka kwenye blacklist wewe ni namba 2..so we tuzungushe tuuuuu..ila uturudishe hapo.
Afadhali umejitokeza.... nlishaanza kukuhisi..