BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Mmmmh
Huyu mdada mbona kama namuhisi....
Huyu mdada mbona kama namuhisi....
THE AUTOBIOGRAPHY CONTINUES!!!!!!!!!!!!
Kiukweli ni dada wa makamo lakini mcute cute flani hivi mnagable for human consumption. Basi akanishauri uongo na kweli, nikamwambia narudi kazini. Jioni akanitext tukutane tenaaa, nimpitie ofisini kwake. Nikasema mmmmmh! Anyway ngoja niende nikampitia tukaenda kunywa. Saa 5 haoneshi dalili za kuondoka. Saa 7, nikammwambia twende nikupeleke kwako mi nikaulaze. Akakubali, nimedrive mpaka kwake hapa hapa mjini kati, ile anataka kushuka akanidaka na denda la nguvu. Kama nilivosema mi mwanaume rijali sio mngese wala joka la kibisa, nika respond. Mambo yakakolea, nikamuuliza tuingie ndani kwako au? Akasema nooo nina watoto wakubwa siingizi wanaume ndani, tumalizane hapa hapa. Nikala mzigo COUGAR kama kawaida. Ila baadae nilijisikia vibaya sana kwa kukosa ustahimilivu. Tatizo cougar akataka kunimiliki na kunifanya baby daddy kula mzigo mara moja tu!!!! Looooh! Nexttime tumekuta akanikomalia nimsindikize mlimani city, kachukua mavitu kibaoo ya kutumia ndani mwezi mzimaaa, afu mda wa kulipa, akajifanya kasahu nini sijui kaniachia torolli kwenye folleni. Bill ikaja 400,000/= MF! Nikatoa kadi akachaji kwenye kadi. Basi katoka anajichekesha hatari, nikafosiwa tupitie lodge nikapewe mzigo nikagomaaa kabisaaa. Baada ya hapo nikamchinjia baharini, mwenyewe sina mtoto sababu sitaki, kulea cougar sio issue. Nikamchiinjia baharini.
Kukawa na binti mlokole anavuma sanaa humu.
INAENDELEA!