The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Mmmmh

Huyu mdada mbona kama namuhisi....

THE AUTOBIOGRAPHY CONTINUES!!!!!!!!!!!!

Kiukweli ni dada wa makamo lakini mcute cute flani hivi mnagable for human consumption. Basi akanishauri uongo na kweli, nikamwambia narudi kazini. Jioni akanitext tukutane tenaaa, nimpitie ofisini kwake. Nikasema mmmmmh! Anyway ngoja niende nikampitia tukaenda kunywa. Saa 5 haoneshi dalili za kuondoka. Saa 7, nikammwambia twende nikupeleke kwako mi nikaulaze. Akakubali, nimedrive mpaka kwake hapa hapa mjini kati, ile anataka kushuka akanidaka na denda la nguvu. Kama nilivosema mi mwanaume rijali sio mngese wala joka la kibisa, nika respond. Mambo yakakolea, nikamuuliza tuingie ndani kwako au? Akasema nooo nina watoto wakubwa siingizi wanaume ndani, tumalizane hapa hapa. Nikala mzigo COUGAR kama kawaida. Ila baadae nilijisikia vibaya sana kwa kukosa ustahimilivu. Tatizo cougar akataka kunimiliki na kunifanya baby daddy kula mzigo mara moja tu!!!! Looooh! Nexttime tumekuta akanikomalia nimsindikize mlimani city, kachukua mavitu kibaoo ya kutumia ndani mwezi mzimaaa, afu mda wa kulipa, akajifanya kasahu nini sijui kaniachia torolli kwenye folleni. Bill ikaja 400,000/= MF! Nikatoa kadi akachaji kwenye kadi. Basi katoka anajichekesha hatari, nikafosiwa tupitie lodge nikapewe mzigo nikagomaaa kabisaaa. Baada ya hapo nikamchinjia baharini, mwenyewe sina mtoto sababu sitaki, kulea cougar sio issue. Nikamchiinjia baharini.

Kukawa na binti mlokole anavuma sanaa humu.

INAENDELEA!
 
uzi huu naona utaondoka na id za watu so soon.

Uko kwenye akili yangu.Baada ya hii story tutegemee ID mpya nyingi sana.Kuna watu tutawamiss humu acha tu.
Ila cha umuhimu ni kuwa makini maana unaweza kushangaa ID mpya lakini mtu anavyocomment ni kama ana uzoefu wa humu ndani.
Ikiwa hivyo jiongeze.
 
Weeee nizidishe manjonjo kwa lara?? Au unamuongelea nani?

Oooh,mimi nikadhani kwa wivu wako unamzungumzia shemeji kua unataka kui hack a/c yake?
Kumbe? Haya tukae kimya tuangalie umbea.
 
Lara soma pm yangu twafadhali kabla ya kuachia hiyo next episode.

Sijaiona hio PM mi ndo naingoja nijue kama natiririka au naresign hili jukumu la writer maana SILENT KILLER kila saa anapiga simu kwanini autobiography imesimama? Nakosa jibu. PLEASE RESEND QUICKLY. NAKUPA MPAKA 8:30 AU SAA 2 NA NUSU KIBONGO Hiyo PM iwe imenifikia. Bila hio FILE LA MLOKOLE LINADONDOKA LA MOTOOOOOOOO!

And why most of you you believe mnamjua BINTI MLOKOLE? Mnanishangaza mjue? Ooooh usimuandike FLANI! HOW ARE YOU SURE NI YEYE? These are just ALLEGATIONS, she is INNOCENT TILL PROVEN GUILTY! Wewe kumhisi mtu unaweza kutenda dhambi bureeee, ukute sie, so far THE SILENT KILLER IS A GHOST! Jamani msichume dhambi.

8:30 Naendeleza. POST NAZIKUSANYA ZINARUDI JUU PALE KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI. SO MUENDELEZO UTAKUWA JUU PALE!
 
Tatizo mmeanza fujo za kutaja taja watu! Mnahisi hisiiiii. Mnanitisha mjue. Nitakuwa simalizii namna hio.

TULIENI NISHUSHE BOMU LA MLOKOLE! IMEBIDI NIZIMUE ST ANNA KWANZA MTUMISHI WA MUNGU HUYU ANATUNHULIWA OOOOOOH! Acheni papara mfaidi mambo.
hapo kwa mlokole ndo napotaka nimalize kuunganisha dots.
 
Hahaaaaa! Okay ngoja niicheki kwanza.

Kiukweli hali imeanza kuchafuka humu ki autobiography ni nomaaa.

Naanza kupata shaka as a writer naweza kuholdiwa responsible. I might even be committing social suicide.
U baaaad!!
Nyoooooooo kazi kutuharibia tuu!
Mfyuuuuuuuu kwanza pipa langu likwapi??
Oh,mwisho uje kwenye mahari!
 
Oooh,mimi nikadhani kwa wivu wako unamzungumzia shemeji kua unataka kui hack a/c yake?
Kumbe? Haya tukae kimya tuangalie umbea.

Hapana mie nilikuwa namaanisha pm ya lara, huu umbea tatizo lara anauchelewesha bwana, mie hadi juice imeisha
 
Wewe!
Hem njoo huku zamu yako lewo kubadilisha diapers!
Ahahahahahahahaha wallahi nilimiss haya makitu!
Niitie cacico , Kongosho Kaizer et al

Hahahaaaaa .... ngoja nikuje pande hiyo. Najua ulivyo mbea hata wewe ushamjua. Khhhhaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Sijaiona hio PM mi ndo naingoja nijue kama natiririka au naresign hili jukumu la writer maana SILENT KILLER kila saa anapiga simu kwanini autobiography imesimama? Nakosa jibu. PLEASE RESEND QUICKLY. NAKUPA MPAKA 8:30 AU SAA 2 NA NUSU KIBONGO Hiyo PM iwe imenifikia. Bila hio FILE LA MLOKOLE LINADONDOKA LA MOTOOOOOOOO!

And why most of you you believe mnamjua BINTI MLOKOLE? Mnanishangaza mjue? Ooooh usimuandike FLANI! HOW ARE YOU SURE NI YEYE? These are just ALLEGATIONS, she is INNOCENT TILL PROVEN GUILTY! Wewe kumhisi mtu unaweza kutenda dhambi bureeee, ukute sie, so far THE SILENT KILLER IS A GHOST! Jamani msichume dhambi.

8:30 Naendeleza. POST NAZIKUSANYA ZINARUDI JUU PALE KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI. SO MUENDELEZO UTAKUWA JUU PALE!
we utajuaje kama huyo mlokole kajilengesha sana humu!
 
lara tupe uhondo puliiizzz.
ili tujifunzee
 
Back
Top Bottom