The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Kabisaaaaa sie wanawake huwafichia sn aibu zao hawa ila wao ni km wanawashwa, alafu wanaona umalaya ni sifa, missed you Diva

Ni kweli@atoto wao huwa tunawafichia madhaifu yao mengi tu wao sasa ndo kujisifia kuhonga na umalaya ndo kuwa ujanja nimekumisije ma dia yani usipime.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli@atoto wao huwa tunawafichia madhaifu yao mengi tu wao sasa ndo kujisifia kuhonga na umalaya ndo kuwa ujanja nimekumisije ma dia yani usipime.

Alafu wanaona sifa!! Thats insanity kabisaaa, huyo hata hana sifa ya kuitwa mwanaume, yaani wanaume ni wachache sn humu
 
Alafu wanaona sifa!! Thats insanity kabisaaa, huyo hata hana sifa ya kuitwa mwanaume, yaani wanaume ni wachache sn humu
Hebu tutaje japo watano unaotufahamu. Kaizer najua atakuwa namba 1 kwahiyo namba 2 piga ua itakuja pande hii.....
 
Last edited by a moderator:
Huo utamu kwa hao walioliwa na wao si wameupata,mtu ambae anataja dau kabisa ujue na yeye amejiwekea hapo yupo temporary, maybe uraiani ana wake,hili ni funzo wengi humu ni matapeli wa mapenzi, na wengi wanaojifanya watakatifu ni wana prpretend tu.kwa uzi huu maybe wengi watajifunza. Nashukuru sijawahi kukutana live na mtu humu. Na kwa haya maelezo ndio kabisa nimejifunza, inaonyesha mtu akishaonja kwa mtu, watu wanaambizana kwenye pm.wanaume hafai, kama umepata au umepatikana jifunze na sio kuishia kujisifia huo ni utoto

Wanaume wasiojielewa ndo wapo hivyo by nature na wengi ni wale wenye league za kitoto. Kuna wale ambao ni very decent hawawezi kufanya huo ujinga.
 
Tangu lini umeanza kutuulizia wazee wakati kila siku unatutukana tumepitwa na wakati? Yani sitakusamehe ulipotutukana eti dushe zetu hazisimami mpaka tuangalie porn movie.... Mi nakasirikaga mimi....

Duuuuuh!! Kweli umeniamulia mwaka huu, kwahiyo ndio umeamua kunikosanisha na wazee jamani?? Lini nilitamka hili? Kaizer laazizi kamu unisaidie hili
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wasiojielewa ndo wapo hivyo by nature na wengi ni wale wenye league za kitoto. Kuna wale ambao ni very decent hawawezi kufanya huo ujinga.

Kama bae Kaizer he is the best
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuh!! Kweli umeniamulia mwaka huu, kwahiyo ndio umeamua kunikosanisha na wazee jamani?? Lini nilitamka hili? Kaizer laazizi kamu unisaidie hili
Hahahahaha yani unabisha??? Ushahidi unautaka?? Haya huu hapa chini usome na uubishie mwenyewe

Vizee kama babu Asprin, Mtambuzi, Dark City, Kaizer vya nini? Vizee vyenyewe mpaka viangalie movie za ngono ndo dushe zao sisimame. Mxiewwwwww. Mi nataka vijana wenye dushe za haja bhana

cc Kaizer, Mtambuzi
:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini umeanza kutuulizia wazee wakati kila siku unatutukana tumepitwa na wakati? Yani sitakusamehe ulipotutukana eti dushe zetu hazisimami mpaka tuangalie porn movie.... Mi nakasirikaga mimi....

Hebu nipe linka hommie:what:😎😱
 
Interesting...

Inawezekana habari hii ikawa ni ya kweli lakini inawezekana pia ikawa ni hadith.

Huyo mwanaume anaona nisifa kujihusisha na mapenzi na utitiri wa wanawake..katika zama hizi za magonjwa. Well ni mtizamo wake, but ktk hadith za vijiweni na foolish age huenda huo ndio uana ume..

But si mbaya sana as Maisha ni vile mtu unavyochagua kuishi, na kila mtu atavuna kile alichopanda.

Mtazamo wangu.. maisha ni matamu sana ikiwa utazichukuliwa social network not too serious. Ina ladha na utamu wake hapa jf kutumia fake name at the same time kutokuonana na watu.. hizo jf party blah blah na zinipite tu.

Na enjoy kuwa sehemu ya jf member.. as anonymous
 
Back
Top Bottom