The most 10 useless graduate.

Heading yao ni " [SUB][SUP]The 10 Most Useless Graduate Degrees" na sio "The most useless 10 graduates".[/SUP][/SUB][/COLOR][/SIZE]

It stay with the similar meaning, walicho angalia ni pamoja na employment opportunities mtu anazokuwa nazo kulingana na alichosomea.[/QUOTE]

For sure the two are not similar they mean two different things-a useless graduate degree (i.e, the degree qualification) is not the same as a useless graduate (the graduate degree holder).
 

Lovely Tz.
 
It stay with the similar meaning, walicho angalia ni pamoja na employment opportunities mtu anazokuwa nazo kulingana na alichosomea.

For sure the two are not similar they mean two different things-a useless graduate degree (i.e, the degree qualification) is not the same as a useless graduate (the graduate degree holder).[/QUOTE]

Nasema they have similar meaning does not mean the same, the qualility may determine its usenesss, nnaimani ujumbe halisi umefika hasa kwa sisi ambao tayari tumeisha faham ni jukumu letu kuwaongoza wanaotufuatia nyuma,
 

hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanyika huko.
 

Namfahamu jamaa mmoja anaitwa MBUGA, amemaliza hiyo kozi MUHAS (2004) saivi anafundisha Chemistry shule za sekondari na kutengeneza Learning materials kwa wanafunzi.
 
Namfahamu jamaa mmoja anaitwa MBUGA, amemaliza hiyo kozi MUHAS (2004) saivi anafundisha Chemistry shule za sekondari na kutengeneza Learning materials kwa wanafunzi.
kitu kama haukielewi vizuri ni bora kuuliza ili kuepuka kutapeliwa.wengine walidisko chuo. hebu kamuulize huyo mbuga kama amesajiliwa na baraza la wafamasia.
 
Namfahamu jamaa mmoja anaitwa MBUGA, amemaliza hiyo kozi MUHAS (2004) saivi anafundisha Chemistry shule za sekondari na kutengeneza Learning materials kwa wanafunzi.

hapana tz hatujafikia huko huyu wako lbd hakuitim miaaka mitano....ni badae sana hawa watu kutosha
 
IS can be in this list kwa maana ya kwamba nyingi za it services kama vile automation zinakuwa autsourced kwa makampuni makubwa. Inhouse it teams of a company wanaishia kutoa support services kwa systems zilizonunuliwa kwa it vendors.
 
Hizo findings zina ukweli kiasi flani,ni nzuri ku determine uelekeo wa watoto wetu.Naona watu wamebaki kumwandama mleta mada kama vile ametoa kichwani.Tutafakari tuchukue tahadhari.
 
Ngoja tucompare na useful zilizo ainishwa kwenye sredi nyingine.
 
No research no right to say.some times research differs from one institution to another according to the interests of the particular institution.
 
No research no right to say.some times research differs from one institution to another according to the interests of the particular institution.

Ukisema hivyo unamaanisha kuwa hakuna kitu kinacho itwa utandawazi si ndio.
 
Mkuu we ndio acha mbwembwe kwenye taaluma za watu. Kama unaweza jifunze zaidi kuhusu QUALITY OF TREATMENT. Kijijini kwetu hatujawahi kuwa na hata nesi tangu uhuru; kuna MCHA (Kama unaelewa); na maisha yanaenda. Wananchi ungewauliza wangejibu kama wewe: MD wa kazi gani? Hivi uanajua general doctors huku kwetu deal, kwa wenzetu hawana kazi? Eti wafamasia wanagawa dawa, lets say so (coz kwa idadi yao, sidhani); hujawahi kuona madaktari waki copy na ku paste prescription? Je hii inakufanya usione umuhim wangu kama dk? Hivi ukiondoa mambo ya Surgery etc ni muhudumu gani wa afya ambae hajasoma/anaweza kumtibu mtu magonjwa kama kisukari, TB, Malaria etc ambayo hata treatment procedures zake ni matangazo ya tv nowdays? JE HIYO INAKUFANYA USIONE UMUHIMU WA MADAKTARI? Hivi unagemeaje gonjwa sugu lipatiwe dawa maabara bila pharmaceutical development?
 
hapana tz hatujafikia huko huyu wako lbd hakuitim miaaka mitano....ni badae sana hawa watu kutosha

son of king john2 siku zote watu huangalia wapi panalipa! Wapo pia rafiki zangu walisoma Molecular Biol and Biotech, SUA lakini wameamua kuwa walimu wa science and they earn a lot of money. Na hii ni kwa sababu hela wanayoipata haina makato yoyote na pia their demand is higher. wengine kila mwezi tunakatwa karibu laki 2 na ushee ... yeye anazipokea kama zilivyo!
 
kitu kama haukielewi vizuri ni bora kuuliza ili kuepuka kutapeliwa.wengine walidisko chuo. hebu kamuulize huyo mbuga kama amesajiliwa na baraza la wafamasia.

Red Giant kumaliza kozi ya famasi sio lazima usajiliwe na Baraza la Famasia! Ni kama vile mtu amemaliza jiwe lake la uhandisi hapo Udsm anaweza akapata kazi yoyote inayomuingizia kipato na akaifanya vizuri bila hata kuwa registered kwenye Bodi ya wakandarasi nchini! japo nakubali wapo wajanja wengi tu ambao walidisco chuo lakini wanafundisha.
 

Siungi mkono utafiti Huu at all
 
hakuna utafiti uliokamilika kama unaona kakosea fanya wewe mpya na utumie mapungufu yake kupata utafiti bora si kulialia tu wakuu,we are interlectuals we have to do more than that to show how much our brain works.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…