The Most 5 skilled RAPPER in Bongo Hip Hop Of All Time.

hata kwenye ngoma nzito lord alitisha sana
 
NASH MC BONTA NIKI MBISHI AFANDE SELE awa jamaa nacho wakubali maisha ya hip hop wanayaishi Pamoja na SONGA kuna wengine mmewataja wanafanya hip hop wanatabia za kike kujipendekeza kwingi majungu
 
Solo thang nilimkubali kwenye albamu yake ya "Homa ya Dunia" humo ndo mwanaume aliimba ndomana unaona hata kwenye nyimbo aloshirikishwa ya mtazamo alinata hadi unamkubali,ila baada ya hapo anaimba utumbo tu
Heheheh eti anaimba utumbo tu...
 
Single ngapi za nikki unazijua?[/QUOTE]
Tatizo unaongozwa na mahaba sio weredi tambua hawa ni wasanii tunawapima kutoka na kazi zao zilivyopata mwitikio katika jamii si kisa msanii karekodi nyimbo ngapi hata kama ana nyimbo mia ila kama hazifikii jamii na kuwa na mchango wake uwezi muweka hapo uyo nick kiuandishi wa mashairi yenye mwitikio katika jamii hata kala jeremaya ana mziki

Nick mbishi ni mburudishaji hana uwezo wakukaa chini na kuandika wimbo mzuri uliobena dhamira inayoeleweka yeye anajua kutafuta vina tu basi

Kwanza umefanya kosa kubwa sana kumuweka kundi moja na kina prof Jay, Fid , na J mo[/QUOTE]
Ngoja nikueleze kidogo kinachoendelea apa, hatuongeleo kuhusu hits( cz kama tuongelea hits nadhani akina joh, billnas,Ay, fa, izzo n.k wangejaa humu) ila tuongelea skills and talents katika hip hop.
On top of that if we talk about singles zenye ujumbe wa kufika jamii nikki mbishi anazo kibao, you only need to buy his albam and mixtapes. Kwanini nakwambia ununue albam au mixtape? Ni kwa sababu media zetu nyingi zinabase kwa wasanii wachache, mostly commercial rappers and not concious rappers.
Kala jeremiah anaweza kurap, single zake zinapigwa but when it comes to skills, rhymes, lyrics, wordplays, freestyling (though most bigfish rappers apa bongo hawawezi) anaweza kulingina na nikki?
Lazima ifike mahali tukubaliane kuna some hip hop artists apa bongo ambao wanasogea kwa sababu tu wanajua kuandika na kufoka but skill wise wapo chini sana.
 
NASH MC BONTA NIKI MBISHI AFANDE SELE awa jamaa nacho wakubali maisha ya hip hop wanayaishi Pamoja na SONGA kuna wengine mmewataja wanafanya hip hop wanatabia za kike kujipendekeza kwingi majungu
Ukiongelea watu wanaoyaishi maisha ya hip hop usimsahau jay moo kumbuka maisha ya boarding na story tatu
 
dizasta vina namkubali kwa flow, anastick kwenye content dah ukiskiliza kazi zake unafeel uhalisia wa hip hop but he is underrated
 
Yeah jamaa wapo vizuri especially wakazi..ila hawana ile hali ya kuingia kwe kichwa cha msikilizaji....aliyekua nayo mtu ka langa...sikiliza kimbia ya langa na babuu au ni hayo tu kuna mistari hata miaka 10 haipotei...au sugu ana miaka chini ya 15 au niko mikononi mwa polisi
Isikie goma la nikki mbishi ft wakazi la priceless jamaa wameuaa sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
A

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiphop gani waimbaji wenyewe wengine wamevaa kama mabinti na kulegealegea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…