Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kwenye ngoma nzito lord alitisha sanaStamina ni comedian rapper anatumia misemo ya vijiweni sana kuteka hadhira..Lord eyez nilimpa 5 kwenye wimbo wa "Hawatuwezi" walioimba kama kundi ukimsikiliza kwenye hiyo nyimbo utakubali he is good,ila nadhani sembe ndo imempoteza kwenye mziki hawezi rudi tena tukafaidi radha ya muziki wake
Heheheh eti anaimba utumbo tu...Solo thang nilimkubali kwenye albamu yake ya "Homa ya Dunia" humo ndo mwanaume aliimba ndomana unaona hata kwenye nyimbo aloshirikishwa ya mtazamo alinata hadi unamkubali,ila baada ya hapo anaimba utumbo tu
5.One incredible
4.Nikki mbishi
3.Jay mo
2.Prof J
1.Fid q
Mtazamo wangu..
Pia anadondoka MITINDO HURU vibaya mno,Naona watu wengi wamemsahau
SOLO THANG
Huyu jamaa ni nguli na nimwandika mashairi mzuri sana na anajua Ku stick kwenye point
Huyu demu ni nasty nasty..Hapa umetishaa kiongozi
HILI LIST imetulia, ila kalapina ni mkaliIfuatayo ni list ya wasanii Wa hiphop wenye majina makubwa lakini uwezo wao ni mdogo
1) KALAPINA
2) MR II (SUGU)
3)BOU NAKO
4) JAFARAY
5) IZO BUSINESS
6)FIDO
7) KR MULLAH
8) RICH ONE
Single ngapi za nikki unazijua?[/QUOTE]"Social maniac, post: 17982795, member: 361969"]Mleta mada huyo nickmbish ni mburudishaji sawa na densa tu kwani baada kushinda mkali wa free style na kuachia wimbo wa play boy kashindwa ishawishi hadhira yeye ni msanii kabaki kuwa msanii wa harakati tu na kulaumu laumu kazidiwa hata na Godzilla ambaye wote walijulikana kupitia lile shindano la free style kwaiyo nickmbish mtoe hapo
Vile vile JCB mtoe hata kama unamini anajua uthibitisho upo wapi yani kazi zake zinazoweza mshawishi mtu akamini kuwa uyu ni bora
Fid Q sawa
J MO sawa
Prof sawa na hakuna Mc akili smart kama uyu wote waimbe ila prof atabaki kuwa the best ever kwani tungo zake zinaisha milele
Ukiongelea watu wanaoyaishi maisha ya hip hop usimsahau jay moo kumbuka maisha ya boarding na story tatuNASH MC BONTA NIKI MBISHI AFANDE SELE awa jamaa nacho wakubali maisha ya hip hop wanayaishi Pamoja na SONGA kuna wengine mmewataja wanafanya hip hop wanatabia za kike kujipendekeza kwingi majungu
No, dogo Hashim , prof jay , dollar sol ( balozi) etc ,Kwangu mimi Fid Q ni namba moja,akifuatiwa na profesa J.
Nikki mbishi,wakazi,songa,p the Mc,one incredible,Nash Mc,stereo,
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa napenda kuwasikiliza wazee wa ngumu......tu wabana pua kwangu mwikoBro nawewe mtamaduni nn.....hapo nampa one incredible, profesa j langa, fid q na huwezi yaja wasanii wa hip hop halafu ukamtoa sugu aka mbunge aka mheshimiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Isikie goma la nikki mbishi ft wakazi la priceless jamaa wameuaa sanaBro nawewe mtamaduni nn.....hapo nampa one incredible, profesa j langa, fid q na huwezi yaja wasanii wa hip hop halafu ukamtoa sugu aka mbunge aka mheshimiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
AIsikie goma la nikki mbishi ft wakazi la priceless jamaa wameuaa sana
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app