"Social maniac, post: 17982795, member: 361969"]Mleta mada huyo nickmbish ni mburudishaji sawa na densa tu kwani baada kushinda mkali wa free style na kuachia wimbo wa play boy kashindwa ishawishi hadhira yeye ni msanii kabaki kuwa msanii wa harakati tu na kulaumu laumu kazidiwa hata na Godzilla ambaye wote walijulikana kupitia lile shindano la free style kwaiyo nickmbish mtoe hapo
Vile vile JCB mtoe hata kama unamini anajua uthibitisho upo wapi yani kazi zake zinazoweza mshawishi mtu akamini kuwa uyu ni bora
Fid Q sawa
J MO sawa
Prof sawa na hakuna Mc akili smart kama uyu wote waimbe ila prof atabaki kuwa the best ever kwani tungo zake zinaisha milele[/QUOTE]
Single ngapi za nikki unazijua?[/QUOTE]
Tatizo unaongozwa na mahaba sio weredi tambua hawa ni wasanii tunawapima kutoka na kazi zao zilivyopata mwitikio katika jamii si kisa msanii karekodi nyimbo ngapi hata kama ana nyimbo mia ila kama hazifikii jamii na kuwa na mchango wake uwezi muweka hapo uyo nick kiuandishi wa mashairi yenye mwitikio katika jamii hata kala jeremaya ana mziki
Nick mbishi ni mburudishaji hana uwezo wakukaa chini na kuandika wimbo mzuri uliobena dhamira inayoeleweka yeye anajua kutafuta vina tu basi
Kwanza umefanya kosa kubwa sana kumuweka kundi moja na kina prof Jay, Fid , na J mo