Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Kwa waliofika Nairobi, bila ushabiki Nairobi wana mitaa ya mabanda mibovu kabisa zaidi ya Dar ila wana developed industrial area, Modern CBD, premium green residential area wako vizuri zaidi ya Dar.East Africa hakuna mji kama dar nilisoma short course na Mkenya pale DMI akawa ana shangaa dar ilivyo nzuri kupita Nairobi watu wamechangamkaa ukarimu alitamani course isi ishe azidi kubaki dar..