The Most Beautiful Woman in The World!! I love you...

Happy birthday my dear wifi shansarie, mungu akupe kila hitaji la moyo wako
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu asante sana kunikaribisha kwenye siku ya kipekee ya mpendwa wako shansarie. Namtakia kila la heri katika siku yake hii muhimu na akawe na maisha mema na yenye furahaa
miss chagga kanitema bana kapata buzi lenye pesa na akina Asprin na Kaiser na pedeshee la mjini arusha one na kale katoto kanakokuja kwa kasi Tized wala hanikumbuki tena nimerudi kwa mke wangu Dena Amsi bana
 
Last edited by a moderator:
Enjoy your day dear shansarie, i believe your hubby kiwatengu will do something great for today.

Please do not forget to invite Mokoyo and his family.
 
Last edited by a moderator:
Msitake kuchonganisha ndoa za watu mwambie huyo kijana atashughulikiwa effectively akiendelea...

hee!! huyu kijana si alikuwa mpango wako kabla ya mumeo?
mbona unamzibia njia zake zote.
 

Asante Kasie...
 
Last edited by a moderator:
Aisee shansarie, this man is more than enough... Wish to see u siku moja.. Anakupenda sana
Ni mwaka wangu wa 3 Jf bt kila mwaka he wishes u....niwatakie kila la kher kwenye penz lenu

Happy birthdate shansarie

Me love u guys
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky ule wimbo nakuimbia kila siku nipe hela hunipi sababu elfu kumi na laki moja.. na wimbo wako wa sina hela mfyuuuu.... babu nishajisepea mda huku nakula raha tu naburudika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…