Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
poa sherehe njemaAisee! safi sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa sherehe njemaAisee! safi sana...
Wala hujasoma vibaya
My dedication to the birthday girl is Eeeekootikeeeeh...... Selfie by Koffie Olomide. Birthday girl shansarie dance like u never dance before while watching your legs isivunjike looh and only if you like dancing happy birthday and enjoy the day.
kiwatengu thanks for the invitation, let's tost. ... cheers for the health of the birthday girl.
Natamani nikwambie kitu ila ntavuruga birthday party na itakuwa sio ustaarabu.
Wape HI 5!!!
Alien Kasie.
hee!! huyu kijana si alikuwa mpango wako kabla ya mumeo?
mbona unamzibia njia zake zote.
Mr Rocky ule wimbo nakuimbia kila siku nipe hela hunipi sababu elfu kumi na laki moja.. na wimbo wako wa sina hela mfyuuuu.... babu nishajisepea mda huku nakula raha tu naburudikakiwatengu asante sana kunikaribisha kwenye siku ya kipekee ya mpendwa wako shansarie. Namtakia kila la heri katika siku yake hii muhimu na akawe na maisha mema na yenye furahaa
miss chagga kanitema bana kapata buzi lenye pesa na akina Asprin na Kaiser na pedeshee la mjini arusha one na kale katoto kanakokuja kwa kasi Tized wala hanikumbuki tena nimerudi kwa mke wangu Dena Amsi bana