The Most Beautiful Woman in The World!! I love you...

The Most Beautiful Woman in The World!! I love you...

kiwatengu asante sana kunikaribisha kwenye siku ya kipekee ya mpendwa wako shansarie. Namtakia kila la heri katika siku yake hii muhimu na akawe na maisha mema na yenye furahaa
miss chagga kanitema bana kapata buzi lenye pesa na akina Asprin na Kaiser na pedeshee la mjini arusha one na kale katoto kanakokuja kwa kasi Tized wala hanikumbuki tena nimerudi kwa mke wangu Dena Amsi bana

Thank u bro.
miss chagga ni hela, hela na yeye!!
msalimie sana Dena Amsi...
shemeji measkroni kapotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Aisee shansarie, this man is more than enough... Wish to see u siku moja.. Anakupenda sana
Ni mwaka wangu wa 3 Jf bt kila mwaka he wishes u....niwatakie kila la kher kwenye penz lenu

Happy birthdate shansarie

Me love u guys

wow! asante shemeji...
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky ule wimbo nakuimbia kila siku nipe hela hunipi sababu elfu kumi na laki moja.. na wimbo wako wa sina hela mfyuuuu.... babu nishajisepea mda huku nakula raha tu naburudika

ashong' mae!!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kwa mwaliko wako mkuu kiwatengu.
Na mie kutoka siasani nasema nitakaribia sambamba na home boy asakuta same.
Happy birthday shansarie
 
Last edited by a moderator:
Iv kile kidude cha like mbona hakipo?
 
Btw kiwatengu tangu lini mimi nimekuwa mtu wa Northen zone...sijawahi hata kukaa huko angalau hata ungeniweka South
 
Last edited by a moderator:
Btw kiwatengu tangu lini mimi nimekuwa mtu wa Northen zone...sijawahi hata kukaa huko angalau hata ungeniweka South

BTW niliamua tu kukumilikisha kimtindo...
i know how much u hate the people from North!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom