dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 616
Dah hii comment imenichekesha sanaWe jamaa sio muungwana,unafikiri watu wote wanajua kuzitafakuri picha.
At least explain the message behind hizi picha zako na si kuona wenzako ni fyatu wakikuuliza jambo acha majivuno dogo.Na dharau si vyema ukawafanyia walimwengu, mfanyie mamako huko nyumbani kwenu.
Jambazi hesabu za wapi hizi ?? Dola milioni moja na nusu kuwa zaidi ya bilioni 100 za kitanzania ???Kibongo bongo inachezea kwenye billion 100?
Umeuaa MzeeWe nae unatuchosha kujifanya kila kitu cha marekani unakijua weyee mtu akisema umeisha mkosoa..! Wewe unaye mjua twambie basi...!
Acha upuuzi chalii..
,,curry yupo kwenye hiyo picha,,Macho yako tu. Hakuna Steve curry kwenye hiyo picha, Boss.
hakeem olajuwon mpaka anafika miaka kumi na tano(15) hata kudunk alikuwa hawezi...Hardwork & determination..Ndo maana unaambiwa kipimo au utaratibu mzuri wa kujijenga katika kipaji au maendeleo binafsi huanza mdogomdogo taratiibu graph ina incline yenyewe.
Hashim Thabit mafanikio yake kwenye game yalikuwa ya ghafla mno. Huwa sielewi sijui wazungu walipapatika na urefu wake au yeye mwenyewe tu alichukulia rahisi fursa ya yeye kuwepo kwenye chart ile akalewa sifa na kushindwa kukaza?!
I feel sorry for you my young... Stretch yourself probably they will re-glance at you and prove to them that you deserve enough to be where you been.
SChwazzeneger(hata Mie Sina Uhakika) Hakuwah Kuanguka,,,he Wast The Best In Body Building Became The Best In Hollywood Then Became The Governor,,,,he Never Flopped,the Beet Flopped,Unaweza ukasema huyo kijana ameyachezea maisha....lakini anayeujua uhondo wa ngoma ni yule aliyeingia kati na kucheza , sio yule anayeshangilia........
Hata kama ameharibu upande huo wa mpira wa kikapu( kama ni kweli ameharibu) bado ana fursa kibao za kufanya mambo mengi zaidi yenye mafanikio kuliko sisi tunaoshindia kunywa kahawa hapa mwananyamala kwa kopa......
Kumbuka yupo kwenye moja ya mataifa tajiri na lenye nguvu kiuchumi....na vile vile yeye bado ni kijana mdogo sana kwa hiyo bado ana nafasi zaidi kwenye maisha yake ya kujaribu mambo mengine.....
Anord Schwazneger( sina uhakika hizo herufi) alikuwa ni mtunisha misuli maarufu huko marekani....baadae akawa mcheza filamu maarufu pia huko marekani....baadae akawa Gavana wa jimbo maarufu huko Marekani.....hadi unaweza ukaona ni jinsi gani Amerika ni sehemu ya fursa mbali mbali ambapo anguko...lako la upande huu linaweza kuwa ndio inuko lako la upande mwingine.....tofauti na huku kwetu ambapo ukianguka ndio umeporomoka...tunakukuta shimoni huko.....
By the way kwanini sisi watanzania tunachukia mafanikio ya ndugu zetu sana na tunayafurahia sana maanguko ya ndugu zetu wenye mafanikio....!!?? Hii ni roho gani ya kipuuzi iliyo ndani yetu....kwanini ufurahishwe na anguko la mwenzako baada ya kumuombea...!!!!??? Kwanini unachukia mafanikio ya mwenzako hali ya kuwa hukuwa na mchango wowote kwenye safari yake ya mafanikio.....only in Tanzania.....
Na Hizo Ni Pound Sio Dollars,,,,,kimsing Hasheem Asingefika Kwenye Hzo LevelRooney anapata £300,000 per week x4=1,200,000 per month hapo je
,,curry yupo kwenye hiyo picha,,
I got you..If literally taken..Yupo Steph Curry, jamaa kamuulizia Steve Curry.
SChwazzeneger(hata Mie Sina Uhakika) Hakuwah Kuanguka,,,he Wast The Best In Body Building Became The Best In Hollywood Then Became The Governor,,,,he Never Flopped,the Beet Flopped,