The Most Humiliating NBA Draft Picks Of This Millennium: Hasheem Thabeet

The Most Humiliating NBA Draft Picks Of This Millennium: Hasheem Thabeet

Wabongo bwana,kiwango kushuka na kuchezea pesa ni vitu viwil tofaut.swali ni kwamba kwann mnasema kachezea pesa
 
We jamaa sio muungwana,unafikiri watu wote wanajua kuzitafakuri picha.
At least explain the message behind hizi picha zako na si kuona wenzako ni fyatu wakikuuliza jambo acha majivuno dogo.Na dharau si vyema ukawafanyia walimwengu, mfanyie mamako huko nyumbani kwenu.
Dah hii comment imenichekesha sana
 
Ndo maana unaambiwa kipimo au utaratibu mzuri wa kujijenga katika kipaji au maendeleo binafsi huanza mdogomdogo taratiibu graph ina incline yenyewe.
Hashim Thabit mafanikio yake kwenye game yalikuwa ya ghafla mno. Huwa sielewi sijui wazungu walipapatika na urefu wake au yeye mwenyewe tu alichukulia rahisi fursa ya yeye kuwepo kwenye chart ile akalewa sifa na kushindwa kukaza?!
I feel sorry for you my young... Stretch yourself probably they will re-glance at you and prove to them that you deserve enough to be where you been.
hakeem olajuwon mpaka anafika miaka kumi na tano(15) hata kudunk alikuwa hawezi...Hardwork & determination..
 
Achana Na Steph "chef" Curry,,,,,majuzi Tu Kuna Dogo Wa Kuitwa Kristap Porzingis Siku Ya Draft Watu Walimzomea Leo Hii Ukitaja Mastaa 30 Kwenye Nba Namba 28 Mpaka 30 Porzingis Hakosi,,,,,mie Imeniuma Sana Kwamba The Beet Amepotea Ghafla Na Bora Angecheza Well Msimu Mmoja Tu Akapotea 2ngesema "remember That Season" Lakini Carreer High Ya Jamaa Ni Point 10 Na Average Ya 2.2 Hajawah Hata Pata Double Double WTF
 
Unaweza ukasema huyo kijana ameyachezea maisha....lakini anayeujua uhondo wa ngoma ni yule aliyeingia kati na kucheza , sio yule anayeshangilia........

Hata kama ameharibu upande huo wa mpira wa kikapu( kama ni kweli ameharibu) bado ana fursa kibao za kufanya mambo mengi zaidi yenye mafanikio kuliko sisi tunaoshindia kunywa kahawa hapa mwananyamala kwa kopa......

Kumbuka yupo kwenye moja ya mataifa tajiri na lenye nguvu kiuchumi....na vile vile yeye bado ni kijana mdogo sana kwa hiyo bado ana nafasi zaidi kwenye maisha yake ya kujaribu mambo mengine.....

Anord Schwazneger( sina uhakika hizo herufi) alikuwa ni mtunisha misuli maarufu huko marekani....baadae akawa mcheza filamu maarufu pia huko marekani....baadae akawa Gavana wa jimbo maarufu huko Marekani.....hadi unaweza ukaona ni jinsi gani Amerika ni sehemu ya fursa mbali mbali ambapo anguko...lako la upande huu linaweza kuwa ndio inuko lako la upande mwingine.....tofauti na huku kwetu ambapo ukianguka ndio umeporomoka...tunakukuta shimoni huko.....

By the way kwanini sisi watanzania tunachukia mafanikio ya ndugu zetu sana na tunayafurahia sana maanguko ya ndugu zetu wenye mafanikio....!!?? Hii ni roho gani ya kipuuzi iliyo ndani yetu....kwanini ufurahishwe na anguko la mwenzako baada ya kumuombea...!!!!??? Kwanini unachukia mafanikio ya mwenzako hali ya kuwa hukuwa na mchango wowote kwenye safari yake ya mafanikio.....only in Tanzania.....
SChwazzeneger(hata Mie Sina Uhakika) Hakuwah Kuanguka,,,he Wast The Best In Body Building Became The Best In Hollywood Then Became The Governor,,,,he Never Flopped,the Beet Flopped,
 
SChwazzeneger(hata Mie Sina Uhakika) Hakuwah Kuanguka,,,he Wast The Best In Body Building Became The Best In Hollywood Then Became The Governor,,,,he Never Flopped,the Beet Flopped,

Sikuwa namaanisha maanguko bali...nilikuwa najaribu kuonyesha jinsi gani hiyo nchi ilivyojaa oppotunity kwa hard workers.....
 
Back
Top Bottom