Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Jamaa kachezea fursa. Nasikia alikuwa analamba mshahara wa dola million moja na nus kwa mwez. Hiv ni kwel ama tetes
Kwa mwaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kachezea fursa. Nasikia alikuwa analamba mshahara wa dola million moja na nus kwa mwez. Hiv ni kwel ama tetes
bado nying sana aisee. Yan hapo kwa mwez 1000+ k . Mungu akupe nini?Kwa mwaka.
bado nying sana aisee. Yan hapo kwa mwez 1000+ k . Mungu akupe nini?
mwaka wa hasheem wenzake wengi wamekuwa mastaa wanakula pesa ndefu.. yeye hata nba wamemtimua...
na akaenda ligi daraja la chini napo wamemtimua...
wachezaji walioingia nba mwaka mmoja na hasheem,,,,,,,,steph curry, de mar derozan, james harden, ricky rubio, blake gliflin, wote wamekuwa nyota wa timu zao
kumbe hashim aliingia na steph curry...mwenzake ss hivi ni lulu GSW kweli kachezea maishaAisee kama haondio alioingia nao NBA tena akiwa # 2 Draft. Bsi kachemsha sanaaa
We nae unatuchosha kujifanya kila kitu cha marekani unakijua weyee mtu akisema umeisha mkosoa..! Wewe unaye mjua twambie basi...!Watu bana....usikute mtu mwenyewe hata humjui kivile lakini unaandika kama unamjua kiundani!
Up yours!
We nae unatuchosha kujifanya kila kitu cha marekani unakijua weyee mtu akisema umeisha mkosoa..! Wewe unaye mjua twambie basi...!
Acha upuuzi chalii..
Kibongo bongo inachezea kwenye billion 100?Jamaa kachezea fursa. Nasikia alikuwa analamba mshahara wa dola million moja na nus kwa mwez. Hiv ni kwel ama tetes
USA babyKipi katika ulichoninukuu ambacho nimejifanya najua?
Jamaa kachezea fursa. Nasikia alikuwa analamba mshahara wa dola million moja na nus kwa mwez. Hiv ni kwel ama tetes