Kwamba wewe kuwa shoga umeruhusiwa na nani?Duuuh!
Yaani South Africa ndio nchi iliyostaarabika kwa hapa Afrika?
Kiwango cha uhalifu kipo Juu sana.
Elewa hili
Uhuru uliopitiliza na uhalifu uliopitiliza ni karibu vinafanana.
Nchi zinazoruhusu ushoga ndio zimestaarabika?
Nchi zinazoruhusu ukandamizaji wa nchi zingine ndio zimestaarabika?
Nchi za kunyonya nchi zingine?
Kwamba Ukristo ni Ubepari?
Duuuh!
Yaani South Africa ndio nchi iliyostaarabika kwa hapa Afrika?
Kiwango cha uhalifu kipo Juu sana.
Elewa hili
Uhuru uliopitiliza na uhalifu uliopitiliza ni karibu vinafanana.
Nchi zinazoruhusu ushoga ndio zimestaarabika?
Nchi zinazoruhusu ukandamizaji wa nchi zingine ndio zimestaarabika?
Nchi za kunyonya nchi zingine?
Kwamba Ukristo ni Ubepari?
Kwamba wewe kuwa shoga umeruhusiwa na nani?
Jibu, we kiwa shoga umeruhusiwa na nani? Na binti kimoso au?Soma uelewe. Usikurupuke
south afrika hakuna uhalifu zaidi ya tanzagiza, tofauti tu ni kwamba sababu ya maendeleo kila kinachotokea kinaripotiwa polisi na kuingizwa kwenye takwmiu, hili ni kuanzia aliyepigana na rafiki yake kitaa mpaka uahlifu mkubwa vyote vinaripotiwa vs tanzagiza kuna mambo mengi yanatokea hakuna mtu anajua yanaishia huko huko kama hakuna influencer aliyenasa na kutupia mtandanoni hakuna atakayejua, ndiyo maana unasikia kwamba south afrika kuna uhalifu sana, lkn tanzagiza kuna uhalifu zaidi ukianzia kuibiana ngombe, kutekana, kuuwa wazee kwa sababu ya ushirikina, kuuwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na kuwakata viungo, wizi wa mifumkoni, kupiga watoto mpaka wengine wanafariki ...
Naikubali kwa sehemu, yaani kuweka South Africa kama polite country ni kosa kubwa.nchi 25 zilizostaarabika duniani ziko asia, north amerika na Ulaya, afrika kuna nchi moja tu south afrika halafu waafrika wanataka kufukuza Christians.
jamii yenye ukarimu ni jamii ambayo watu wake wanasema asante au kushukuru, samahani, kusalimia, kusaidia wasio jiweza kama walemavu, kuheshimu wengine wote wanawake, wanaume na watoto wanastahili heshima, na mambo kama hayo ...
View attachment 3575201
Waislam wengi wema wao uko mdomoni Tu behind the closed doors ni watu wabadinchi 25 zilizostaarabika duniani ziko asia, north amerika na Ulaya, afrika kuna nchi moja tu south afrika halafu waafrika wanataka kufukuza Christians.
jamii yenye ukarimu ni jamii ambayo watu wake wanasema asante au kushukuru, samahani, kusalimia, kusaidia wasio jiweza kama walemavu, kuheshimu wengine wote wanawake, wanaume na watoto wanastahili heshima, na mambo kama hayo ...
View attachment 3575201
Inaonyesha siyo tu hajafika southafrica bali hana exposure kabisaKwamba Tanzania kuna Uhalifu kuliko South Africa. Acha masikhara Mkuu
Tanzania ipi hiyo? Eneo gani?
Au unazungumzia hayo matukio ya utekaji yanayofanywa kisiasa ambayo hata hivyo yanatokea mara mojamoja na yanatokea kwa Wanaojihusisha na siasa Kali za upinzani.
Hapa Tanzania unaweza kutembea usiku popote bila shida yoyote.
Kuhusu ushirikina na uchawi matukio yalikuwa miaka kadhaa nyuma. Na hakuna tishio kwa watu kwamba MTU ahofie usalama wake kisa washirikina au wachawi kwamba atauawa au kudhurika.
Ukitaka ujue uungwana wa Watu angalia filamu zao utapata kwa uchache ni watu wa aina gani.
Angalia viongozi wake.
Angalia raia wake.
Angalia matukio ya uhalifu.
Angalia falsafa za jamii au nchi husika.
Hizo nchi huko juu ulizozitaja karibia zote ni wahuni watupu.
Inaonyesha siyo tu hajafika southafrica bali hana exposure kabisa
Uhalifu kama kuuana kumeleta heshima baina ya mtu na mtu huko SA myu hawezi kumtukana au kumdhalilisha mwenzie hovyo hovyo maana utakula shaba. Hii inefamya watu kuwa polite bila kupenda. Kuna jamaa Msouth Africa aliona vurugu za magari Dar na watu kuvunjiana heshima akasema tatizo kubwa hapa Tz hamuheshimiani kwasababu hamuuani. Hawa wajinga SA wangekuwa washakula shaba.Duuuh!
Yaani South Africa ndio nchi iliyostaarabika kwa hapa Afrika?
Kiwango cha uhalifu kipo Juu sana.
Elewa hili
Uhuru uliopitiliza na uhalifu uliopitiliza ni karibu vinafanana.
Nchi zinazoruhusu ushoga ndio zimestaarabika?
Nchi zinazoruhusu ukandamizaji wa nchi zingine ndio zimestaarabika?
Nchi za kunyonya nchi zingine?
Kwamba Ukristo ni Ubepari?
Je, hii ni heshima au kuogopana.?Uhalifu kama kuuana kumeleta heshima baina ya mtu na mtu huko SA myu hawezi kumtukana au kumdhalilisha mwenzie hovyo hovyo maana utakula shaba. Hii inefamya watu kuwa polite bila kupenda. Kuna jamaa Msouth Africa aliona vurugu za magari Dar na watu kuvunjiana heshima akasema tatizo kubwa hapa Tz hamuheshimiani kwasababu hamuuani. Hawa wajinga SA wangekuwa washakula shaba.
Kama ukiwa kichwa ngumu unanyooshwa na unanyooka. Unakuwa muungwana bila kupenda. Bottom line uungwana upo. Hata enzi zetu tulipigwa viboko na tukawa na heshima.Je, hii ni heshima au kuogopana.?
itabidi tupate clarification of what is "heshima" and what is "kuogopa" (kuhofu)
Je, ni sawa na kusema tawala nyingi za Afrika na Asia zinaheshimiwa na raia wao sabb raia wanaogopa?