The most polite countries in the world, surprise no muslims!

The most polite countries in the world, surprise no muslims!

sijakataa wala kupinga ila tu nakuwa mwangalifu sana kwenye haya mambo, kama nilivyosema kuna maeneo mengi tu tanzagiza huwezi kupita mwenyewe bila ya kukabwa na kuporwa, kwa kuwa tu labds ahlijakukuta haimaanishi halipo, kuna uahlifu mwingi na mkubwa tu kila siku sema hauripotiwi popote ...
Maeneo ya kupita peke yako na kukabwa Bongo ni machache sana, na ninajua wengi wetu kwenye maisha yetu hapa Tanzania safari zetu hazihusishi hayo maeneo ndio maana wengi hawayajui zaidi ya story
Pia matukio ya wizi Tanzania yapo hususani miji mikubwa ila kama unaongelea mauaji, sio sahihi kusema hayaripotiwi. Yani ufanye mauaji yasiripotiwe? Ukiacha kuongea kwa kukisia, umeona wapi mtu anaua Tanzania halafu inakuwa unreported. Au ubakaji, wizi wa mali za thamani nk.

Uhalifu ambao hauripotiwi Tanzania labda useme wizi mdogo mdogo ambao watu wenyewe wanaona uvivu kuripoti, ila binafsi sijawahi kuona mtu anaua, au anabaka mtu halafu asiwe reported

South Africa uhalifu upo juu ila what concerns people more ni mauaji ya hovyo.

Tena South mauaji yako juu sana, na hata ukitoa mauaji, aina nyingine za uhalifu pia Tanzania hatuoni ndani. Kuanzia wizi, matumizi ya madawa ya kulevya, ubakaji, nk. huwezi linganisha South Africa na Tanzania

Sisemi Tanzania haina uhalifu, ila kusema imezidi South Africa sio kweli
 
Uliwahi kuwa Muislam ukawa huko behind the closed doors?

Hivi kwanini mnakuwa na chuki namna hiyo dhidi ya Uislam?
Jaribu kuchunguza hata humu JF ni mara ngapi mumeshindwa kuficha chuki zenu duuuh 😁😁

Mbona waislamu hawana chuki na nyie kiasi hiki?
Uislam umefikia hatua ya kuruhusu kuoa binti mrembo wa kutoka upande wenu.
Wao wao nyewe wanajionesha hivyo
 
Maeneo ya kupita peke yako na kukabwa Bongo ni machache sana, na ninajua wengi wetu kwenye maisha yetu hapa Tanzania safari zetu hazihusishi hayo maeneo ndio maana wengi hawayajui zaidi ya story
Pia matukio ya wizi Tanzania yapo hususani miji mikubwa ila kama unaongelea mauaji, sio sahihi kusema hayaripotiwi. Yani ufanye mauaji yasiripotiwe? Ukiacha kuongea kwa kukisia, umeona wapi mtu anaua Tanzania halafu inakuwa unreported. Au ubakaji, wizi wa mali za thamani nk.

Uhalifu ambao hauripotiwi Tanzania labda useme wizi mdogo mdogo ambao watu wenyewe wanaona uvivu kuripoti, ila binafsi sijawahi kuona mtu anaua, au anabaka mtu halafu asiwe reported

South Africa uhalifu upo juu ila what concerns people more ni mauaji ya hovyo.

Tena South mauaji yako juu sana, na hata ukitoa mauaji, aina nyingine za uhalifu pia Tanzania hatuoni ndani. Kuanzia wizi, matumizi ya madawa ya kulevya, ubakaji, nk. huwezi linganisha South Africa na Tanzania

Sisemi Tanzania haina uhalifu, ila kusema imezidi South Africa sio kweli

labda kama unaishi mikocheni na hiyo ndiyo tanzagiza yako, lkn kuna watu wengi wanakufa na kuzikwa na serikali haijui chochote na hii hutokea hata dar kwenyewe achilia mbali huko mikoani na vijijini, au labda nikuulize ni watanzagiza wangapi waliofariki ambao serikali imetoa death certificate au cheti cha kuthibitisha kifo cha binadamu xyz? kumbuka kama hauna cheti ina maana hautambuliki, rekodi za maneno kwamba fulani alishafariki ni kama hazina maana, ndiyo maana wakati mwingine pamoja na sababu nyigine pia watu wanapata shida kwenye mambo ya mirathi.

au kwa nini labda unafikiri mishahara hewa ni tatizo la muda mrefu tanzagiza kwa mfano waliokwisha fariki lkn mishahara yao inalipwa bado? moja ya sababu ni hiyo hakuna ushahidi wa kimaandishi i.e death certificate kwamba mfanyakazi xyz amefariki, lkn hiyo ni mada nyingine hata hivyo ...
 
😄😅 eti Italy ndani, Spain, Netherlands, India, Marekani, Ujerumani, South Africa, U.k 😂🙌🏾

Sijui wameangalia vigezo gani dhidi ya hii orodha yao
 
Afrika Kusini, mji pekee ambao una uhalifu ni Johannesburg. Nenda miji kama Capetown au Witwatersrand, kuna ustaarabu wa hali ya juu. Huwezi kulinganisha na huku kwetu.
Kwamba Geita, Mwanza, Dodoma, Tanga nk kuna uhalifu kuliko Cape Town?
 
tanzagiza tulipaswa tuwawinde mafisadi wanaotubia na kutugeuza watumwa kwenye nchi yetu wenyewe lkn tunawaabudu na kuwatetea,
Kumbe ukisema Watanzania unamaanisha akina Lucas Mwashambwa? Basi ndio maana
 
Data fake

Kwanza hapo hakuna nchi ya kikristo kama unavyotaka iwe
Nchi ya kikristo ni Vatican, hizo nyingine zina wakristo wengi kama Tanzania ambayo kuwezi kusema ni ya kikristo

Pili kuna nchi kama Singapore ina tabia karibu sawa na Japan, hapo haimo
Nchi kama Brazil na South Afrika kuna sehemu kama siyo mwenyeji huwezi kwenda, unazungumzia maeneo kwenye
zile favela za Rio de Janeiro, au Joburg maeneo ya matajiri kama Sandton bado kuna ushenzi wa kutisha

Tatu, kuna tofauti kati ya politeness(ukarimu) na ustaarabu(civilization) kama jamaa alivyoleta
Ustaarabu ni neno la kiarabu inatokana na “wasta Arab” , kujuana/connections za kiarabu ila Kiswahili kikakosa maana halisi ya neno hilo na kulitumia vibaya
Chuki zake kwa waislam na waarabu bado anatumia lugha yao
 
Kiongozi unaijua hata India kweli?
Sijui kama passport yako ina muhuri hata wa Burundi????
Hata ile temporary travel document ya kupitia Namanga inaonekana hana huyo
Chuki zinamzidi maarifa
 
Duuuh!

Yaani South Africa ndio nchi iliyostaarabika kwa hapa Afrika?

Kiwango cha uhalifu kipo Juu sana.

Elewa hili
Uhuru uliopitiliza na uhalifu uliopitiliza ni karibu vinafanana.

Nchi zinazoruhusu ushoga ndio zimestaarabika?
Nchi zinazoruhusu ukandamizaji wa nchi zingine ndio zimestaarabika?
Nchi za kunyonya nchi zingine?

Kwamba Ukristo ni Ubepari?
Kiwango cha uhalifu kuwa juu haimaanish ni nchi nzima au majimbo yote.

kila nchi ina tatizo la uhalifu tofauti ni magnitude. Suala la utulivu yaan stability ni jambo lingine
 
Kiwango cha uhalifu kuwa juu haimaanish ni nchi nzima au majimbo yote.

kila nchi ina tatizo la uhalifu tofauti ni magnitude. Suala la utulivu yaan stability ni jambo lingine
Ungetembea huko duniani ungejua mengi
Kuna nchi zimeendelea na zina uhalifu mkubwa tu ila wanazima sana taarifa zao zisikae hewani....
Mfano: Marekani mhalifu anaweza kuingia shuleni akaua wanafunzi hata 20, lakini hiyo taarifa itasalia kwenye vyombo vya habari pengine kwa siku tatu hadi wiki, baada ya hapo hutaisikia tena...
Huku Africa kwa sababu watu wanafikiri taarifa mbaya ndio habari; Inaweza kusalia kwenye vyomba vya habari kwa mwaka mzima na zaidi....na ndicho hupelekea kuonesha uhalifu ni mkubwa sana.
 
Hiyo chart haina tatizo lolote lile la kisayansi kwasababu inatoa data kwa kutumia mfumo wa perceptions za watu, ambao ni mfumo valid tu kisayansi.
Mara nyingi mfumo wa kukusanya data kupitia perceptions za watu tu hauleti majibu sahihi.

Ila tatizo unalileta wewe kwa kutaka kuhusianisha polite ya watu na dini ya ukristo wakati hiyo takwimu haina maelezo hayo.

Mfano Japan, siyo nchi ya kikristo,
Japan kuna shinto na ubudha kwa asilimia kubwa lakini ndiyo nchi namba 1 hapo kwenye hiyo takwimu, sasa kama hapo ukristo unaingia kivipi?
 
Ungetembea huko duniani ungejua mengi
Kuna nchi zimeendelea na zina uhalifu mkubwa tu ila wanazima sana taarifa zao zisikae hewani....
Mfano: Marekani mhalifu anaweza kuingia shuleni akaua wanafunzi hata 20, lakini hiyo taarifa itasalia kwenye vyombo vya habari pengine kwa siku tatu hadi wiki, baada ya hapo hutaisikia tena...
Huku Africa kwa sababu watu wanafikiri taarifa mbaya ndio habari; Inaweza kusalia kwenye vyomba vya habari kwa mwaka mzima na zaidi....na ndicho hupelekea kuonesha uhalifu ni mkubwa sana.
Kaka nimetembea na nina ishi? Unajua crime rate ya major city za us, au baadhi ya majimbo?

Memohis, baltimore, st louis?

Unajua how unsafe haya majimbo yalivyo?

Does it make USA unsafe ,unstable? No

Andkwa taarifa yako tu crime rate ya us na south africa hazijapishana sana. Lakin haimaanish kuwa nchi is not safe
 
Vita tayari imeshatokea. Kobazi hawataki kuelewa, na wafuasi wa Jesus nao ndani yaani full udini na upumbavu..
ila kiuhalisia linapokuja suala la ustaarabu nchi nyingi ambazo zinaongozwa na NON MUSLIM huwa ktk level kubwa mfano Japan, China, South Korea, n.k, huwezi kufananisha jamii inayojiona yenyewe imani yao na mfumo wao wa maisha ni bora kuliko wengine, huku ikilazimisha na wengine kufuata huo mfumo, ni sawa na Christian african countries nao ni TAKATAKA TU..

Nchi zinazojielewa ktk wale Muslim ni chache sana nazo sababu zinafuata misingi ya kibeberu ya Wamagharibi kwa malengo ya kuinua chumi zao ktk secta za utalii/uwekezaji wa wageni, mfano UAE, Saud Arabia, Qatar, hizi huwezi kufananisha na zile TAKATAKA za kiarabu na kiislamu zinazozalisha wapumbavu na wajinga kama waliopo ktk christian African countries mfano Tz, kenya, Congo, Nigeria n.k.

Wafia dini wameugeuza uzi kuwa Vita, na mtalaumu sana.
 
Duuuh!

Yaani South Africa ndio nchi iliyostaarabika kwa hapa Afrika?

Kiwango cha uhalifu kipo Juu sana.

Elewa hili
Uhuru uliopitiliza na uhalifu uliopitiliza ni karibu vinafanana.

Nchi zinazoruhusu ushoga ndio zimestaarabika?
Nchi zinazoruhusu ukandamizaji wa nchi zingine ndio zimestaarabika?
Nchi za kunyonya nchi zingine?

Kwamba Ukristo ni Ubepari?
Chill, hebu andika bila ya panic. Kutokubaliana na orodha ni jambo moja lakini ku-panic kisa orodha haujapendezwa nayo ni jambo jingine kabisa.
 
Back
Top Bottom